Anapodai macho yangu yanamtongoza...

Atakiwe awe na subira kwani penzi ni kikohozi na haliwezi kufichika...........

my guess she likes what she is seeing and the feeling associated with it, si unajua pia kuificha sana furaha yaweza kukuchoke kama ambavyo penzi lako ni kikohozi. Kwa hiyo kushare furaha yake na shogaze sioni kama ni tatizo; do you?
 
Kweli macho hayana hiyana huzungumza zaidi kwa vitendo,ukimtizama dem naye anatafsiri vingne kumbe kitu ng,andi
 
Kaka ntakuja kuchukua Darsa,kuna mtu nataka nimshushie mashairi aise.
 

macho hayana pasia kwa hiyo hakuna kuangalia haya makitu yalivyoumbika poa bwana ila mimi naunga mkono hoja
 

mh, emu weka picha ya macho yako hapa tujadili vizuri.
 
Macho yanabeba ujumbe mwingi sana....

1. Macho ya tongozo
2. Macho ya hasira
3. Macho ya aibu
4. Macho ya wivu
5. Macho ya furaha
6. Macho ya uchunguzi
7. Macho ya umbea
8. Macho ya kutoridhishwa

Yaani kwenye macho kuna ujumbe mwingi sana, sasa ya tongozo, macho jinsi yanavyokaa kaa yanatoa msisimko fulani hivi ambayo kwa yule ambaye hajaelewa atapata picha nyingine kabisa kama vile "Inawezekana ananifananisha!" au "Mbona ananichunguza?"...kwa yule anayeelewa macho za tongozo huwa anatoa response mfano kucheka, tabasamu, au anamjibu kwa macho ya kujibu tongozo...ha ha ha ha ha ha ha dunia tamu sana!
 
my guess she likes what she is seeing and the feeling associated with it, si unajua pia kuificha sana furaha yaweza kukuchoke kama ambavyo penzi lako ni kikohozi. Kwa hiyo kushare furaha yake na shogaze sioni kama ni tatizo; do you?

Actually imenisaidia kujua yaliyojificha moyoni mwake. Sometimes; though not always, sharing is caring............
 
Huyu mtu alinimaliza kwa macho yake

Ni noma huyu mwanamke............lol!!!!!!! !!!!!!!!

macho yake yalikubembeleza pia hadi ukaingia kingi bila ya kujijua?
 
Mkuu mfungukie mwenzako ili akamilishe kiu yake.

mwendapole hajikwai na akijikwaa haanguki na akianguka haumii..............subira yavuta kheri walakini na harakaharaka haina mbaraka pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…