Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa

Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.

Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?

Nimfanye nini huyu mwanamke?
Huyo ni mlango wa 7
 
Kwanza tuanzie uchunguzi 'investigation' katika kujuana kwenu na aina gani ya penzi mnalopitia.. inaonesha hujamtongoza wewe au yeye ndo alikufata.. au ndo 'single relation.. aka blind love' Kiufupi pole ila rejea swali langu hapo nyuma. aina gani ya penzi mnalopitia.?
 
Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Bas ww ndio mwenye matatizo maana ata msimamo hauna ubapelekeshwa na mwanamke mjinga.

Kama unaona awezi majukumu ya mama wa familia/ majukumu ya ndoa unataka kuanzisha nae familia/ndoa ya nini?
 
Back
Top Bottom