mkuu nani anaweza hayo maombezi?? namaanisha mtumishi gani anaweza kukata hilo pembe?
Akafanyiwe maombezi.
ndo huo huo mkuu nimechukua ushauri asanteWezere ni sawa sawa na ule mtandao? Maana mitaa ya huku hilo neno lina maana nyingine (Vijana wanamaanisha wowowo kwa huku kwetu).
Ushauri wangu wamuweke kikao familia nzima wamseme kuhusu huo ufirauni wake.