Anapenda kula vyangu ila hataki kunitunuku tunda

Anapenda kula vyangu ila hataki kunitunuku tunda

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,287
Reaction score
9,170
Wakuu nimekuja mnipe ushauri na mbinu za kumshawishi.

Ipo hivi kiufupi kuna binti mmoja hivi hapa kitaa ni jirani yangu toka ni mu aproch kuna kama mwaka sasa. Na kila akiwa na shida hunicheki bila hiyana namsaidia mpaka sasa imenitoka kama laki 6 hivi. Ila kila nikiomba mbususu hunijibu hivi, huoni mambo ya kuyaongelea mpaka uongee huo ujinga.

Sio siri huwa napigwa na butwaa hivi na kujiuliza maswali mengi ananichukuliaje ikafikia kipindi nikamwambia kama ni hivyo hebu fanya mambo yako tusitafutane.

Matokeo yake huwa ananilalamikia sana kwanini namfanyia hivyo kuna siku nilipatwa na jazba nikamla makofi lakini bint kasema hata iweje ananipenda, na ni kweli vitendo vyake vinaonyesha ananipenda.

Sasa wakuu lengo la mapenzi ni penzi, swala la kuoa baadae baada ya kutest mitambo. Nitumie mbinu gani za ushawishi ili nimle?
 
Bro, anakuchukulia poa, bwege, fala. We unatoa pesa anapendeza kuna fala anakula.

Kwani unataka umuweke ndani au upige tu? Cha kushauri hapo jaribu kujitia upo busy, simu punguza, msg punguza, akiomba mpige viswahili kama mwezi hivi haueleweki.

Akiendelea kukomaa mchane laivu. Mwamba no free lunch mjini hapa.
 
Man unazingua man 😢.... si wanaume tunaumiaga sana kuna mtu mwenye jinsia kama yetu anaanguka
Na anayemuangusha ni jinsia hiyo nyingine. Chakata ubongo bwana laki sita nyingi sana.SO SAD
 
Pole sana na acha huo ujinga fanya mishe nyingine.
 
Kweli wavulana Ni wengi kuliko wanaume

Anyway ngoja tusubiri majibu ya takwimu za sensa ili tujue wavulana mpo wangapi[emoji23][emoji23]
 
Mchome moto na gunia la mkaa!
 
Labda kama hajatumika kabisa, ila kama katumika asee shika njia zako tu
 
Kwan huwa anakulazimisha kutoa hizo hela? Achana na mapenz fanya mambo mengine
 
Mwanamke anakulaje hela yako kabla hujaona chupi yake........
 
Man unazingua man 😢.... si wanaume tunaumiaga sana kuna mtu mwenye jinsia kama yetu anaanguka
Na anayemuangusha ni jinsia hiyo nyingine
Chakata ubongo bwana laki sita nyingi sana.SO SAD
Dah laki sita nyingi mzeya....inabidi amalizane nae mapema tuu kama mdao alivyosema hapo juu no free lunch
 
Wakuu nimekuja mnipe ushauri na mbinu za kumshawishi

Ipo hivi kiufupi kuna binti mmoja hivi hapa kitaa ni jilani yangu toka ni mu aproch kuna kama mwaka sasa

Na kila akiwa na shida hunicheki bila hiyana namsaidia mpaka sasa imenitoka kama laki 6 hivi

Ila kila nikiomba mbususu hunijibu hivi huoni mambo ya kuyaongelea mpaka uongee huo ujinga

Sio siri huwa napigwa na butwaa hivi na kujiuliza maswali mengi
ananichukuliaje ikafikia kipindi nikamwambia kama ni hivyo hebu fanya mambo yako tusitafutane

Matokeo yake huwa ananilalamikia sana kwanini namfanyia hivyo kuna siku nilipatwa na jazba nikamla makofi lakini bint kasema hata iweje ananipenda, na ni kweli vitendo vyake vinaonyesha ananipenda

Sasa wakuu lengo la mapenzi ni penzi swala la kuoa baadae baada ya kutest mitambo nitumie mbinu gani za ushawishi ili ni mle????????
Siku utaweza kuandika jirani, na sio jilani....atakupa tunda kabla jogoo hajawika asubuhi.
 
Unaomba uzazi, unaambiwa huo ni ujinga. Halafu hadi dakika hii hauna kesi ya mauaji!!!!!

Mkuu mpole sana wewe
 
Man unazingua man 😢.... si wanaume tunaumiaga sana kuna mtu mwenye jinsia kama yetu anaanguka
Na anayemuangusha ni jinsia hiyo nyingine
Chakata ubongo bwana laki sita nyingi sana.SO SAD
Anataka aonekane gentleman 😃😃
 
Bro, anakuchukulia poa, bwege, fala. We unatoa pesa anapendeza kuna fala anakula.

Kwani unataka umuweke ndani au upige tu? Cha kushauri hapo jaribu kujitia upo busy, simu punguza, msg punguza, akiomba mpige viswahili kama mwezi hivi haueleweki.

Akiendelea kukomaa mchane laivu. Mwamba no free lunch mjini hapa.
Aiyeeeeeeeee .. Deal done
 
Back
Top Bottom