Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo...
Wakuu nimekuja mnipe ushauri na mbinu za kumshawishi.
Ipo hivi kiufupi kuna binti mmoja hivi hapa kitaa ni jirani yangu toka ni mu aproch kuna kama mwaka sasa. Na kila akiwa na shida hunicheki bila hiyana namsaidia mpaka sasa imenitoka kama laki 6 hivi. Ila kila nikiomba mbususu hunijibu hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.