Anapata orgasm akimnyonyesha mtoto!!! ushauri plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anapata orgasm akimnyonyesha mtoto!!! ushauri plz

Discussion in 'JF Doctor' started by Leornado, Jan 20, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli naona aibu sana hata kuhadithia matatizo yangu hadharani ila imenibidi.

  Mimi ni dada wa miaka 32 ,nimejifungua mwezi uliopita.
  Sijui ni kwanini kwa kweli ila kila ninapomnyonyesha mwanangu nakuwa Napata orgasm. Yani najisikia vibaya sana jamani, sielewi kwanini nakuwa ninacome kila ninapomyonyesha mtoto, yani orgasm zenyewe ni zile ambazo zinakuwa very strong yani sijawahi kuzipata kama hizi huko nyuma nikiwa shughulini na mume wangu, mpaka sometimes najikuta nakauka mwili mzima kuna siku moja karibia nimdondoshe mtoto.imefikia pahala nikitaka kumyonyesha mtoto mpaka nijifungie chumbani niwe peke yangu ili mtu asinione ninavyotetemeka.
  Hichi kitu kinanisumbua sana ,sijamwambia mtu yoyote hata mume wangu nimeshindwa kumueleza .ningependa kujua je kuna mwanamke yoyote ambae amewahi kuexpirience hichi kitu, je itaisha yenyewe au niende kwa doctor?
  Naombeni ushari tafadhali najiona kama namuabuse mtoto wangu ila pia kuacha kumnyonyesha naona kama nitakuwa namkosesha kitu muhimu.

  Great thinkers plz, wadada is this a normal thing? nimeguswa na huyu dada sana.

  source;
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Je, huyo dada kakutuma ulete hii post JF? Kama sivyo, hii habari umeitoa wapi?
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nafikiri sio peke yake kuna baadhi ya wadada wanapata hii,angeacha kunyonyesha
   
 4. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo ndo mtoto wa kwanza au ashakuwa na mwingine?


  enewei nlikuwa napita tuu
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ushauri tu asiache kunyonyesha,kwa kuwa atakuwa anamkatili mtoto haki yake,na ajielewe kuwa hamu yake ya tendo iko kwenye tits kwa kiasi kikubwa na ajitahidi kuona wataalamu wa afya hasa madaktari wa wanawake watamsaidia zaidi kukabiliana na hali hiyo.
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Pole mpwa, duniani kuna mambo, I think and believe the best thing to overcome nikuondoa hisia za mapenzi na kuweka za mtoto...mchukulie kama mtoto na sio kama uko na mumeo anakunyonya maziwa! halafu concetrate kwene kunyonyesha sio kwenye ngono, ondoa wazo kwamba " I wish angekua ni mume wangu ndo ananinyonya"....pia muombe MUNGU atakusaidia! ULALE UNONO
   
 7. olele

  olele JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  hakuna ushauri mzuri kama wa kitaalamu, kamuone daktari hakuna tatizo lisilo na jibu.
   
 8. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  well said paka, ila unanikwaza na hili jina lako pamoja na maandish meusi. Ila uwa unatoa mapoint ya ukweli
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Inaelekea mumewe hajui kuyatumia hayo maziwa:A S 39:
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Your age plz?? Maana naona unachanganya mada sana mara wewe mara rafiki yako. SIKUELEWI
   
 11. M

  Mundu JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Duniani kuna mambo. Mmeulizwa akina dada,je hii ni normal? Nakushauri ukamwone daktari au mnasihi.
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Under 18 at work wasituchoshe akili hawa.

  sioni issue kabisa.

  Kama umezaa na mtoto anataka kunyonya unaweza kweli kumfikiria baba yake??
  Na kufikia orgasim??? Serengeti boys/girls hapa sioni cha kudisikasi
   
 13. c

  chetuntu R I P

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ushauri mzuri sana, paka mweusi we ni bf kansela? Mtoto aendelee kunyonya hata kwa kumkamulia maziwa na kufuata ushauri wa usafi kama itashindika kupata ufumbuzi. Mtoto asiponyonya vizuri miezi 6 ya mwanzo madhara yataoneka akifikisha mwaka 1. Pole mwaya!
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sina mtoto,ushauri wangu,usiache kumnyonyesha mwanao,maziwa ya mama yanajenga kinga ya mwili ya mwanao......PLEASE!!!

  Pole sana!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Whomever that person is may have a legitimate problem and it is imprudent for you to just dismiss and trivialize at prima facie what could very well be a genuine issue. Think about it....
   
 16. c

  chetuntu R I P

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mmmmhh then what????

  Vous êtes tant vous jeunes garçons et les jeunes filles prétendant juste comme vous êtes. Aller et ne jamais revenir encore vous a aucun n'importe quel point
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Me donne la réponse comme vous avez été demandé avant d'est vous n'êtes pas un enfantin ? Ne jamais jouer avec la vieille personne que vous ne savez pas wright le jeune garçon
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ahene nkima ebhe lekaga imihayo yako nu bhudoshi bhoko. Unene nagutogilwe gete gete. Managa giko lulu..
   
 20. N

  Nonda JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Si ya kucheka ila hii kali. Kama sio stori ya kuchekesha watu tu, basi mambo makubwaaa!!

  Hivi huyo mtoto ananyonya kikawaida, yaani kitoto toto kama anavyonyonya mtoto mchanga au ananyonya kivipi?

  Pili huyo mnyonyeshaji haipendi hiyo hali? hapo nimesoma alikuwa hajawahi kuzipata kama hizi..sasa Alikuwa haombi kwa mungu amletee hiyo hali? pengine alikosea katika maombi yake...

  Kama ni kitu cha kuendelea na kama mtoto ananyonya kitoto basi amkamulie maziwa ndani ya chupa halafu ampe kutokea chupani.
  Taabu ikizidi ampe ya kopo au ya ng'ombe..
  Hata hivyo ana bahati sana , yaani anasikia raha yeye binafsi na anasikia raha ya umama ya kumnyonyesha mtoto wake, ajiihesabu kuwa ana bahati sana.

  Mambo yakimzidi apate ushauri kwa daktari!
   
Loading...