Anaomba ushaurii.... !!

Anaomba ushaurii.... !!

mtoa mada!don worry,hayo mambo yapo, even mi niliombewa ndo yakasepa,na ndo nikajua tabia nyingi nilizokuwa nazo yalikuwa yanasababisha,bt nw im ok....!mf,wivu kupita kiasi,hasira/kisirani/mahusiano kuvunjika bila sababu ya msingi etc.

Ss basi,Hili tatizo ni kubwa kuliko watu wanavyofikiria,wanafikiri wadada wanavyochelewa kuolewa wanajitakia o hawajatulia o hakuna anaewataka!,No,hayo madude ni noma na usiposimama na Mungu utashangaa,maana yenyewe hayataki kushare.
ONYO,usiende kwa mganga atakuongezea mengine, only Jesus can rescue, nenda kaombewe popote ambapo unapaamini,ukishindwa ni PM km upo serious nitakusaidia.
..NB:hata ukishaombewa,still utaelekezwa namna ya kujiombea mwenyewe,ili usimame na Mungu.
Sio kuombewa halafu ukae tu,yanarudi,lzm uwe mtu wa sala na maombi.

Nakubaliana na huu ushauri 100 mia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
we ze duduz kumbe we ni k!anyway pole sn kwa sekeseke
 
we.... acha zingua.... ni binti fulan hivi hapa jiraniii na kwetu kwa sababu alinifuata nimpe ushauri nikashidwa kumpa then ikabidi nije ni post hapa nipate cha kumwambia mimi ni full kidume kilichokamilika@geezle
 
Back
Top Bottom