Anaomba ushaurii.... !!

Anaomba ushaurii.... !!

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
702
NINA JINI MAHABA ANANIFANYA
VIZURI KIASI SITAMANI
MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ
Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo
ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na
umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na
jina mahaba huwa linanitokea usiku wa
manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii
imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu
huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa
naridhika kabisa yaaani acha tu kiasi kwamba
wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii
raha nikifanya nao kiasi naishia
kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends
wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia
kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji
kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia
sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa
kawaida na hili jina mahaba litoke ?
 
Kama unalichukia hilo jini mahaba basi dawa ni kwenda kwenye maombi. Tena yahitaji uvumilivu manake hilo lina kwaida ya kuwatia uvivu hata waombaji sasa kwa ushauri tafuta watu makini wakusaidie kwa njia ya kukufanyia maombi. Kumbuka kwa Mungu hakuna lisilowezekana na hilo ni jambo dogo sana kwake.
 
hebu elezea kidogo jinsi mnavyodijana na huyo jini? vp ukiwa kwenye siku zako anakuja?
 
Njoo ufanyiwe maombiiiii. Ukiombowa tatizo lako ni dogooooo ndugu yanguuuuuu.
 
kumbe ndo maana mademu wengine wanakuwa kisirani sana.....
 
Inawezekanaje? Lakini kama ni mkristu,ushauri wa kuombewa hata mimi nahisi ndio sahihi zaidi
 
daaah, jaman hivi hao jini mahaba/ngono wako kwa akina dada tuu!!!! mbona sijawahi kusikia mwanaume kashikwa na jini wa kikee!!!!
au majini ni wa kiume tuu!!!
 
daaah, jaman hivi hao jini mahaba/ngono wako kwa akina dada tuu!!!! mbona sijawahi kusikia mwanaume kashikwa na jini wa kikee!!!!
au majini ni wa kiume tuu!!!

hahahhahaaaaaaaaaaa mdau naona unasubiria bahati yako...lol I guess we ni mwanaume....🙂🙂
 
daaah, jaman hivi hao jini mahaba/ngono wako kwa akina dada tuu!!!! mbona sijawahi kusikia mwanaume kashikwa na jini wa kikee!!!!
au majini ni wa kiume tuu!!!

Ipo, hata kwa wanaume!
Spirtual wife kwa mwanaume,spirtual husband kwa mwanamke!
...kutoka mpaka maombi no way!
 
Tena ngumu kuolewa hapo.......maana tayar una ndoa na huyo jini hata watoto umezaa nae.
Maombi yana nguvu!!!!!!
 
mtoa mada!don worry,hayo mambo yapo, even mi niliombewa ndo yakasepa,na ndo nikajua tabia nyingi nilizokuwa nazo yalikuwa yanasababisha,bt nw im ok....!mf,wivu kupita kiasi,hasira/kisirani/mahusiano kuvunjika bila sababu ya msingi etc.

Ss basi,Hili tatizo ni kubwa kuliko watu wanavyofikiria,wanafikiri wadada wanavyochelewa kuolewa wanajitakia o hawajatulia o hakuna anaewataka!,No,hayo madude ni noma na usiposimama na Mungu utashangaa,maana yenyewe hayataki kushare.
ONYO,usiende kwa mganga atakuongezea mengine, only Jesus can rescue, nenda kaombewe popote ambapo unapaamini,ukishindwa ni PM km upo serious nitakusaidia.
..NB:hata ukishaombewa,still utaelekezwa namna ya kujiombea mwenyewe,ili usimame na Mungu.
Sio kuombewa halafu ukae tu,yanarudi,lzm uwe mtu wa sala na maombi.
 
NINA JINI MAHABA ANANIFANYA
VIZURI KIASI SITAMANI
MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ
Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo
ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na
umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na
jina mahaba huwa linanitokea usiku wa
manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii
imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu
huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa
naridhika kabisa yaaani acha tu kiasi kwamba
wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii
raha nikifanya nao kiasi naishia
kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends
wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia
kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji
kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia
sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa
kawaida na hili jina mahaba litoke ?

DADA pole sana kw yanayo kusibu,ila Dada yangu na sikitika sana kwanini umeishi muda mwingi na shetani bila kujitambua??ila Nashukuru sana Mungu cos Mungu atakufungua siku sio nyingi,uko Arusha au uko pande gani??njoo redio safina kuna maombi na utafunguliwa kabisajitaidi kuwa karibu Mungu,im sure umeanza kupata ujasiri wa kumchukia shetani,Naomba jitaidi kujifunza maneno ya Mungu yatakuwa msaada sana,Mungu akufungulie njia sahihi ya kutatua tatizo lako. Ameni.
 
Hamna alichochelewa!
cha msingi msaidie apate maombi!

kwanza kujua tu km ni tatizo nayo ni kazi nyingine,wachache ndo wanaelewa kinachoendelea
 
Je,huyo jini wako ana umri gani? halafu yaelekea na wewe umemzimikia sana,angalia usiwe unafanyaga mapenzi na mbwa,paka,kibabu,fisi.Maana mashetani wana mambo ya ajabu
 
Kama unalichukia hilo jini mahaba basi dawa ni kwenda kwenye maombi. Tena yahitaji uvumilivu manake hilo lina kwaida ya kuwatia uvivu hata waombaji sasa kwa ushauri tafuta watu makini wakusaidie kwa njia ya kukufanyia maombi. Kumbuka kwa Mungu hakuna lisilowezekana na hilo ni jambo dogo sana kwake.

Nakubaliana na ushauri huu 100 mia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom