Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
Siri kubwa imejificha hapaBidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu Sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri
Sawa mkuuAcha kuzusha, hawawezi kuishi wote miaka 100 sema kama ni mingi 70 tu.
Mwambie achukue ushauri Wa huyu MTU.Ndio maana mnaambiwaga ndoa sio fasheni ili mradi tu uwaringishie watu kuwa umeolewa.
Jitahidini uolewe na rafiki yako. Huyo mwanaume wala hana tatizo, shida hapo ni kila mtu na hulka tofauti.
Suluhisho hapo; Kama mume haongei wewe muongeleshe, Kama hakugegedi wewe usilale na nguo kisha anzisha wewe miguso mbona kinaeleweka tu. Kama hapangi mikakati ya maendeleo anzisha wewe mada ya nini unapenda kifanyike.
Kumbukeni ndoa ni muunganiko wa watu wawili wa jinsia tofauti na wenye tabia za tofauti.
washa gari, likiwaka na kupata moto, liache uone linaekea wapi?3) sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana ...kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja
Hajasusa, Kuna aina hii ya wanaume ambao hawanaga shobo na papuchi, hata wanawake ambao hawajisikii hamu ya mara kwa mara ya kugegedwa.Hivi mwanaume unapata vipi ujasiri wa kususa papuchi?!
Weeee lazima kuna compensation somewhere, somehow!Hivi mwanaume unapata vipi ujasiri wa kususa papuchi?!
Sure, hapo chemistry ndio changamoto.Ndio maana mnaambiwaga ndoa sio fasheni ili mradi tu uwaringishie watu kuwa umeolewa.