Anaomba nizae nae

Fyatua tu kijana, Ila kama anauwezo wa kumlea mtoto mpe mbegu azae
 
Kaka umemaliza. Maana hawa wadada wanaokwambia kuwa wanataka wakuzalie huwa wana tatizo au wana presha kutoka kwa ndugu au marafiki.
Si vizuri ukamjaza kweli maana kibao kitakugeukia mbeleni upate shidah
Mkuu nmeshalielewa hilo !! .
 
baba huruma sambaza mbegu izo jamaa atasomesha bureeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…