Ananizungusha kwenye suala la kunipa mchezo...Je, hii ni sawa..?

Ananizungusha kwenye suala la kunipa mchezo...Je, hii ni sawa..?

Hahaha Kama wewe ni shereka la kutoa msada endelea... Kuhusu mapenzi sahau kaka....
 
Pole sana kaka, tendo la ndoa huongeza upendo mara dufu. Huyo dada hakupend ila anaona wew n ktega uchumi, yan unatmiza shda zake tu ila ana mwanaume mwngne anae mpnda.
Kwa mtu unaempenda huwez mfanyia ivo, tafuta mtuuu huyo anakupotezea muda
 
Tena umesema anamtoto...

Jiongeze mkuu waweza kuta siku unayomwambia ww kukutana ndo hiyo anaenda kupigwa na baba mtoto..


Ni mawazo yangu.
 
Sasa mkuu si uusafirie mzigo kwan kitu gan?
 
Daah yan kuanzia mwezi wa kwanza mpaka wa 4 hujapata tunda.? Achana na hiyo miaka miwili.. Mi ntashindwa kutembea
 
Habari wana JF..
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tayari alishazaa mtoto mmoja na mwanaume mwingine (nilimkuta tayari kasha zaa) .

Nikamtongoza akakubari, nikampenda sana naye alinijibu the same kuwa ananipenda pia. Lakini kila nilipotaka sex alikuwa akinipa muda, Mfano naweza mnikamuomba mwezi wa kwanza akanijibu nisubilie mpaka mwezi wa nne ktk likizo.

Vivyo hivyo inapofika mwezi wa nne atanambia mwezi wa 6. Ikawa kama ndio ratiba ya kunipa likizo. Nikimuuliza sababu ananiambia yuko mbali, nikimwambia nimtumie nauli ananiambia labda nimtumie hela ya kula tu na sio nauli sababu hawezi kuja. Nimeishindwa kumvumilia mpaka sasa ni miaka miwili na miezi kadhaa bado majibu ni yale yale.

Naombeni mnishauli labda nifanyaje?
Hakuna kitu atakitaka chenye nauwezo nacho nikashindwa kumtimizia.
Tatizo linakuja kwenye sex.......
Oa huyo huyo maana anajitambua hataki uzinzi.
 
Kwani wanawake wamekwisha.au ndo unakuwa.?
Anakuona mtoto bado.
 
Mzee baba una kasoro ipi? Huenda ukawa unakasoro ndomana ume mganda huyo aliye kukubalia? Au ulkuwa ukitongoza unakataliwa
 
I feel so waooo, when my eyes met with her, am always fold my hands and pray to god.
Okay. Acha ulokole sasa mwambie vile unafeel

Halafu tayari ana mtoto kwanini anazingua hivooo??
Au ana mtu mwingine????
 
Wew ni wa mkoa gani mkuu??

Kama ni dar sishangai hahahahah
 
Back
Top Bottom