Ananizungusha kwenye suala la kunipa mchezo...Je, hii ni sawa..?

Duuhhh kazi kweli kweli.

Wengine mnatuharibia siku. Hili nalo ni la kuuliza? Huyo binti/Dada anachofanya yupo sahihi, Tena sahihi Sana.
 
We mwenyew umejitengenezea mazingira ya huyo kukunyima papuchi siku zote usipende kumzoesha mwanake ela kabla hujala papuchi yake atakusumbua sana sasa na wew hapo ukifilia gharama zake kipindi chote hicho roho lazima hiume hapo cha msingi mpotezee kama kweli anakupenda atakutafuta ila ukiona kimya ujue sio riziki yako na kama akikutafuta sasa umuweke kwenye mstari vile unavyotaka wew sio tena unarudia mambo uliyoyafanya mwanzo
 
Habari wana JF..
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tayari alishazaa mtoto mmoja na mwanaume mwingine (nilimkuta tayari kasha zaa) .

Nikamtongoza akakubari, nikampenda sana naye alinijibu the same kuwa ananipenda pia. Lakini kila nilipotaka sex alikuwa akinipa muda, Mfano naweza mnikamuomba mwezi wa kwanza akanijibu nisubilie mpaka mwezi wa nne ktk likizo.

Vivyo hivyo inapofika mwezi wa nne atanambia mwezi wa 6. Ikawa kama ndio ratiba ya kunipa likizo. Nikimuuliza sababu ananiambia yuko mbali, nikimwambia nimtumie nauli ananiambia labda nimtumie hela ya kula tu na sio nauli sababu hawezi kuja. Nimeishindwa kumvumilia mpaka sasa ni miaka miwili na miezi kadhaa bado majibu ni yale yale.

Naombeni mnishauli labda nifanyaje?
Hakuna kitu atakitaka chenye nauwezo nacho nikashindwa kumtimizia.
Tatizo linakuja kwenye sex.......
Uahaur wangu kanunue popcorns na sprite maana ww ni MPENZI MTAZAMAJ ushuhudie muvie tu
 
We jamaa Undefined kabisa..
siku hzi hakuna mapenzi ya kusumbuana.. kama mbali nae huyo
 
Habari wana JF..
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tayari alishazaa mtoto mmoja na mwanaume mwingine (nilimkuta tayari kasha zaa) .

Nikamtongoza akakubari, nikampenda sana naye alinijibu the same kuwa ananipenda pia. Lakini kila nilipotaka sex alikuwa akinipa muda, Mfano naweza mnikamuomba mwezi wa kwanza akanijibu nisubilie mpaka mwezi wa nne ktk likizo.

Vivyo hivyo inapofika mwezi wa nne atanambia mwezi wa 6. Ikawa kama ndio ratiba ya kunipa likizo. Nikimuuliza sababu ananiambia yuko mbali, nikimwambia nimtumie nauli ananiambia labda nimtumie hela ya kula tu na sio nauli sababu hawezi kuja. Nimeishindwa kumvumilia mpaka sasa ni miaka miwili na miezi kadhaa bado majibu ni yale yale.

Naombeni mnishauli labda nifanyaje?
Hakuna kitu atakitaka chenye nauwezo nacho nikashindwa kumtimizia.
Tatizo linakuja kwenye sex.......
Kwanini unafikiri una haki ya kupewa huo mchezo?

Kwani umemuoa?
 
hakupendi
 
Mhhh....mpenzi wako huyo?
 
hebu tumsikilize newton anasemaje ktk first law of motion

a body (wapenzi) will continue in its state of rest or uniform motion in a straight line provided that no external force (umbali, pesa au kutombewa) acting otherwise.
 
Back
Top Bottom