Ananizungusha kwenye suala la kunipa mchezo...Je, hii ni sawa..?

Ananizungusha kwenye suala la kunipa mchezo...Je, hii ni sawa..?

Aje kwako mume wake amwachie nani?yaani hujastuka tu kuwa kaolewa na anaishi na mtu?
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye wanawake wengi kuliko wanaume. Inaweza ikawa ratio ya 4:1 sasa kwanini usitafute kati ya hao watatu waliobaki?
 
Ushaambiwa mapenzi upofu my dear,,, hapo haoniii alafu wanaume km hao niwazuriii wakuwafanya mtajiii[emoji125] [emoji12]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] jovitha nakugawa buuuuure kabisa
 
Habari wana JF..

Mimi nina mpenzi wangu ambaye tayari alishazaa mtoto mmoja na mwanaume mwingine (nilimkuta tayari kasha zaa) .

Nikamtongoza akakubari , nikampenda sana naye alinijibu the same kuwa ananipenda pia. Lakini kila nilipotaka sex alikuwa akinipa muda, mfano naweza mnikamuomba mwezi wa kwanza akanijibu nisubilie mpaka mwezi wa nne ktk likizo. Vivyo hivyo inapofika mwezi wa nne atanambia mwezi wa 6. Ikawa kama ndio ratiba ya kunipa likizo. Nikimuuliza sababu ananiambia yuko mbali, nikimwambia nimtumie nauli ananiambia labda nimtumie hela ya kula tu na sio nauli sababu hawezi kuja. Nimeishi kumvumilia mpaka sasa ni miaka miwili na miezi kadhaa bado majibu ni yale yale.

Naombeni mnishauli labda nifanyaje?

Hakuna kitu atakitaka chenye nauwezo nacho nikashindwa kumtimizia. Tatizo linakuja kwenye sex.......
Endelea kumtunza wenzako wanagegeda!
 
Hahahaahhahahaahahahahaha Smart911 love habari za kupigwa Kalenda sioooo you men don't like that kabisa not so?? ?
Don take it as it easy, coz u don knw what's inside of my heart 4 her. What i needs from u is what am i surpose 2 do now?
 
Mkuu hata kama haujui kusoma na picha ikushinde kuangalia, jiongeze mzee hapo hauna chako.
 
Back
Top Bottom