Mmejenga nyumba au umejenga nyumba?Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena.
Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu.
Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
Nyumba nimejenga mwenyewe mkuu yeye hajui bei ya kiwanja wala tofariMmejenga nyumba au umejenga nyumba?
Itapendeza umpe nauli na akitaka kurudi mwambie nafasi yake haipo
Na hakikisha ktk hizo mali mlizonazo haondoki hata na kijiko
Sifahamu sababu ni nin miezi miwili nyuma alihama chumban nilipomuliza sababu hakusemaWewe nane nane bado haujaweka wazi sababu inayomfanya mkeo saba saba atake kuachana na wewe wakati mmezaa watoto wa tatu.
Watoto mmoja kavuka miaka 7 yupo darasa la nne mwingine bado hajavuka ila yupo darasa la kwanza, je nifanyaje watoto wote niweze kubaki naoUsimng'ang'anie kama uwamuzi wake ndio huo. Kama watoto wote wamevuka moaka 7 hata sheria ya NDOA NA TALAKA inakuruhusu kubaki nao. Au kama kuna aliye chini ya umri huo muache aende nae na uwe unamtumia hata kiasi cha hela kwaajili ya matunzo. Hii nimeongea kama hajataka kuachana kupitia mahakama, akienda kudai talaka mahakamani jua mtagawana kila mlichochuma pamoja.
Duh amna kamchepuko kaona kwa simu?Sifahamu sababu ni nin miezi miwili nyuma alihama chumban nilipomuliza sababu hakusema
Mkienda mahakamani nikumuleza hakimu mke wako ana kazi/kipato cha kulea mtoto unaomba ubaki na watt wakat walikizo wataenda kumsalimia mama Yao.Watoto mmoja kavuka miaka 7 yupo darasa la nne mwingine bado hajavuka ila yupo darasa la kwanza, je nifanyaje watoto wote niweze kubaki nao
Fanyeni kushirikisha ndugu zenu wa karibu. Wawasaidie kutatua suala hili Lakini usikimbilie kufanya maamuzi ya kumwacha sababu watakoa umia zaidi ni watoto wenu.Sifahamu sababu ni nin miezi miwili nyuma alihama chumban nilipomuliza sababu hakusema