Ananipendea pesa

Yaan wanabalaa ujue, mie nikisoma mawazo yao huwa nahisi wanaume wanapotea kwenye uwanaume wao wanabaki wanaume wachache sana
Wasiojua kuhonga ndio wanaume wanaopetea kwenye uanaume?yaan nyie ni binadam wa ajabu sana ,wanaotimiza mahitaji yenu ndio wanaume?
Suala la mapenz ya dhati kwenu hakuna ni pesa tuu,kufikishwa mt Kilimanjaro sio issue now day Bali pesa tuu ndio issue
Hivi hayo mabwawa yenu mbona hatulalamiki?unakuta mwanamke ananata na mbwembwe kibao ila ukifunua huko unakuta qumma utadhan kachukua na za jirani zake kumbe ni yake pekeee,
Mwanamke mzuri,mvuto,qumma nta,ana haki ya kuhongwa kwani nikiingia mgodini nakuta makinikia saaaafi ila nahonga halafu nakuta bwawa tutagombana aseee
 
Wanaume wa kibongo hawana shukran wabahili kama nini yaan ukipanda tu gari lake tiyar ushampendea pesa, masikini gari lenyewe
 
ww bongolala kwel wanaume cc n
viumbe vya ajab sana tatizo ww
hujawah kupenda unaeza ishi nyumba
ya kupanga lkn ukawa unahudumia
vbaya mno pili hujaw skia mtu anatumia
zaid ya anacho kipata??? mapenz ni kitu cha ajab kk


sent from aifoni seveni plasi
 

Njaa zinakusumbua Neybright
 
Angalieni kwanza jina la mtoa mada
Isijekuwa amepandwa na wazimu.......
 
Sidham kama uko sahihi kwenye hio ishu. Utofauti wa kuhonga na kuhudumia uko kwenye FIGURES??? Hapana mdau....m nadhan it depends with the situation u ar in and not the figure. Just re-think.
 
Hahahahahah!!! Mkuu umeongea ukweli Sanaaa!!! Hawa watu n selfish sanaaa!!!!! Ndio maan wanaishiwa kumegwa tuu na kutupwaa kule kama gandaa la ndiziiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi,,, mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke ambao sio mume na mke, ni biasharaaaa,,, au mahusiano. Zamani wahenga walikuwa wakipendana kwa sababu mbalimbali,,,kama ujasiri,, ushujaa,, uhodari wa jambo,,, n.k. suala la pesa,,, sio kigezo,,, maana hakiuzwi. Mhenga anampa mwanamke zawadi kama shukrani,,,,,ila sikuhizi,,,,,mmmhhh,,,,,,kila kitu kinawekwa kwenye commercial terms....pambaneni na hali zenu,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakaini huko tuendako,,, mwanamke atatamani kuwa na mwanaume mstaarabu tu,,,atakula vyake na kuvaa vyake,, mradi tu ajulikane yuko na mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Davoo tema mate chini aysee ! Now dayz kufikishwa Kilimanjaro sio issue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli mim napenda kuhonga ila not to extent ya kumaliziana mtaji,... Kwan unauza nn,
Kweli ukizidisha ni ufala tu mkuu. Halafu hawa viumbe hawaeleweki we utahonga sana lakini kuna mwingine ni free pu.mbu tu anagegeda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…