Ananipenda mpaka naona huruma

Ananipenda mpaka naona huruma

Amechezea mtii mmoja bado sana akikutana na miti mingine mbona atakusahau ana mapenzi ya mtoto wa chekechea kwa mwalimu wake kila kitu mwalimu kasema hiki mara hiki mwalimu alikataza akila vidato kadhaa anamzarau mpaka mwalimu wake.
 
Back
Top Bottom