Ananipenda mpaka naona huruma

Ananipenda mpaka naona huruma

Aiseeee....
Kijana tatizo huja mature, kuwa jasiri tuu, unaweza kula huyo mchepuko. Alafu ukawa unampenda huyo wamoyon asilia mia.

Kama huwez kujigawa, basi amua kuwa na mmoja. Acha kutangatanga

Ebu act like a real men, acha utoto...
 
raha ya mapenzi upendwe na dem aisee mtaishi miaka mia ila ukimpenda dem af yeye hana habari aisee mwez hamfikishi

mtoa mada zingatia hayo maneno hapo juu ndo tunavoishi.
 
Mpende akupendaye brother. Acha kutangatanga 🙂lock1🙂.
 
Naomba namba yake huyu ambaye ulimuonyesha dira maana nahisi hajawahi kutika nje aone beats tofauti
 
Embu jarib kusoma huu ujumbe
 

Attachments

  • 1451052928923.jpg
    1451052928923.jpg
    30.7 KB · Views: 665
Endelea kumpenda anayekupenda hao wengine chapa ilale
 
Hahah we ni boya kweli yaani we ndo zuzu unathubutu kuandika ----- hapa , unataka uambiwe kwamba umuache ama unataka tujue umemtoa bikra.. Pvssy wewe
 
Hawayuuuni!!
Mimi ni kijana under 25,nina mpenzi nilianza nae uhusiano soon after six b4 joining university.
Nilimpenda sana na nafikiria kuwa awe yf wngu,ktk mapenzi yy alikuwa mgeni kwani mm ndie nilifanikiwa kuutoa USICHANA wake.
Ananipenda mno haipi cku bla cm wala sms na akitongozwa anasema kwangu ila upnde wangu kuna bnt mwingne alomalza diploma accountancy yupo field y mwisho ameingia ktk moyo wng kwa mbali but bdo cjaggeda!!!!
Kila nkiwa krbu na huyu wa diploma namkumbuka huyu niliyemtoa usichana (Classmate wangu o'level)
Naona km napotea kutokuwa mwaminifu kwake!!!Analia mara nyingi kuwa ananpenda na anatamni niwe mumewe,NIPENI mawazo yenu.[/QUOT
Mh we kweli mtambo .
 
Hvi chuo kikuu ndio huwa mnaandika hovyo hovyo namna hyo?
 
Hvi chuo kikuu ndio huwa mnaandika hovyo hovyo namna hyo?
 
Back
Top Bottom