Ananipenda kweli

Ananipenda kweli

Njoo umuone dada yangu gfsonwin ndo utajua ol can be found under one roof bana!!!!

Simsifii ila ni kweli...yani mi huwa naomba kila siku: Oh Lord, give me a wife like my sister gfsonwin...😛ray2:
wow! hongera shostito gfsonwin.....
haya yangetoka kwa shem yangekuwa na uzito zaidi......kaka? kila mwamba ngoma.......
 
Last edited by a moderator:
wow! hongera shostito gfsonwin.....
haya yangetoka kwa shem yangekuwa na uzito zaidi......kaka? kila mwamba ngoma.......
FP kwani shemeji yeye sio mwamba ngoma? tena yeye ndo mwambaji mkuu!!!!
 
Last edited by a moderator:
yaaaaaaaaaaaap tena veeeeeeeeeeeery posibo ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom