Yah! Tena very possible!!!!! Tena upendo wa mtandaoni wa kweli sana coz mnasomana tabia zaidi, interest, na mkiwezana mnakuwa na chemistry ya ajabu! Ila haya ya kuonana yanakuwa influenced zaidi na looks! Mtu ukishamuona mbaya whatever he says or has hukioni tena unaconclude vote vitakuwa vibayaaaa kama sura yake!
Online its more of tabia aspects!!!!!!!!
kwa upande wangu hii imefinika post zote ulizowahi kuzitoa hapa JF......... nimeipenda sana.......Yah! Tena very possible!!!!! Tena upendo wa mtandaoni wa kweli sana coz mnasomana tabia zaidi, interest, na mkiwezana mnakuwa na chemistry ya ajabu! Ila haya ya kuonana yanakuwa influenced zaidi na looks! Mtu ukishamuona mbaya whatever he says or has hukioni tena unaconclude vote vitakuwa vibayaaaa kama sura yake!
Online its more of tabia aspects!!!!!!!!
wee dada mkubwa kuna moja nyingine alitoa jana!kwa upande wangu hii imefinika post zote ulizowahi kuzitoa hapa JF......... nimeipenda sana.......
Safari moja huanzisha nyingine.
::
Mtandao ni njia ya kukutana,,KUPENDA AU KUPENDWA NI SAFARI NYINGINE
=
he heeeeeeeeeee, mlongo wangu ile kwangu sijaifagilia saaaaaaaaaana, maana imenichanganya tu, sijui huyo mwanamke wa shoka ndo anatakiwa awe na zile sifa zote au moja wapo? maana kuna mwenye zile zote kweli? mimi sijuiwee dada mkubwa kuna moja nyingine alitoa jana!
matata kabisa
ametoa sifa za mwanamke wa ukweli wa karne!
utampendaje mtoto wa mama lara 1
hahahha, mchaga katokea fb,hi5, jf au wap;i vileeeee afu unamsindikiza kwao kwenda kusalimia au we excluded in this chaga season
he heeeeeeeeeee, mlongo wangu ile kwangu sijaifagilia saaaaaaaaaana, maana imenichanganya tu, sijui huyo mwanamke wa shoka ndo anatakiwa awe na zile sifa zote au moja wapo? maana kuna mwenye zile zote kweli? mimi sijui
Waongo wakubwa,nyinyi ndiyo mmefika mahali mnafanya mapenzi kwa njia ya simu!