Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Anatafuta kuolewa huyu.
Nadhani huyu ameshaolewa mapema.
Anatafuta kuolewa huyu.
Hivi maishani mwako ushawaza ipo siku unaweza kuharibiwa heshima ya makalio yako?
Kama hujawahi basi gusa huyo mke wa mtu...
Anakupendaje wakati ana mume tayari? Mshauri aheshimu ndoa yake