Ananipenda au!!!

shee leo

Senior Member
Dec 12, 2011
105
22
Habari zenu wanaJF,naleta kwenu story yangu ili nipate ushauri:2005 nilipata mpnz 2kapendana sana ndugu zake wakanifahamu na wangu pia...jamaa akawa anang'ang'ania anivishe pete ya uchumba wkt alikuwa anasoma chuo na mimi najifanyia kaz..nilimkatalia kwa kuwa alisema tutaoana baada ya miaka mi3 na ushauri wa wazaz ndugu,na jamaa ulisaidia ktk hilo wakasema kwa mila za kiafrika unatangaza uchumba huku unaanza process za ndoa,2008nikajiendeleza form5 na 6 ya one year.....alipomaliza chuo 2009akapata kaz nzur na mshahara mzuri san,akapewa nyumba na ukizingatia nilikuwa na pesa yangu kidogo ukichanganya na yake nikafanya shopping ya vitu vya ndani...baada ya miez6 sasa hapo ndio akaanza jeuri,dharau eti simfai wala sijui kufanya starehe n 2kawa tunagombana,akaacha kunijali wala kunishirikisha ktk mambo yake....nikavumilia yote..2009october nikaenda morogoro chuoni hapo ndio vurugu zikazidi kila nilipokuwa naenda kwake nakuta picha zangu zimetolewa ukutan,nguo za kike akawa ananiomba msamaha yanaisha 2kaendelea mpaka mwaka jana nilipomuuliza kuhusu NDOA akawa ananipiga kalenda 2kipanga akatoe mahari anasogeza miez mbele kila mara,wazaz wangu walikasirika sana kwa hilo isitoshe yeye zaman ndio alikuwa anaforce 2oane.....nilipombana akasema mama yake kamkataza kunioa nikamwambia tangu zaman kwa nin hakukataa hakunipa jibu sahihi ...dada zake wakashauri nishike mimba ndio atanioa au nihamie kwake NIKAKATAA kwa kuwa sikupenda anioe kwa kutopenda au forcing,kwa kweli ikawa vurugu mpk nilipomfumania kwake akiwa na mwanamke mwngne nikaamua basi tena niachane nae ila aftr 2months akawatuma dada zake wamuombee msamaha na mimi nikamsamehe kwa mapenz yangu ya dhati kwake tukarudiana kwa ahadi kibao ikiwemo ya kufunga ndoa.......mwezi wa 10akaniita kwake akaniambia nimsamehe kwa kuwa hawezi kunioa kwa kuwa anamsichana amempa mimba na hataki mtoto wa nje ya ndoa co SIRI nilizimia nikapelekwa hospital nikalazwa nikapata na BP na ulcers nilikonda ikawa kila siku nalia hata kusoma vizuri nashindwa ukizingatia ndio nipo mwaka wa mwisho....mama yake akamshauri kumtunza mtoto ila anioe mim kwa kuwa alikuwa amenipotezea muda akakataa,ikabidi nisalimu amri ingawa bado nilimpenda mwez uliopita wa 12yule msichana mimba imetoka jamaa anataka kurudiana na mimi ananisumbua kila kukicha ila sasa nimekataa katakata kwa kuwa hata ndugu zangu wamenikataza kurudiana nae maana niliteseka kwa ajili yake....Nampenda ila je nikirudi yakajirudia kama ya zamani?nipeni ushaur.
 
Usirudi mdogo wangu. Kafanya kosa, akalirudia..maana yake hakujifunza. Move on kama unajipenda!
 
Ujinga ni wakati wa kwenda, sasa ndo unarudi. Usijaribu kumrudia coz hana mapenzi ya kweli. We soma utapata mwingine atakae kupenda nawe ukampenda
 
Mmh usirudi dada yangu.
atakutesa sana yan, na nadhani this time amepanga kukupoteza hapa duniani kbs.
una mapenzi mwenzetu duuh, hongera sana kwa moyo mvumilivu huo.
kweli lkn ukirudi hapo tena atakachokutendea umauti utakunyemelea. ACHANA NAE.
 
Siku zote kwenye kupenda tumia akili yako, vipi utumie akili za wengine.

Ushauri wangu huyo anaonyesha hajui kupenda, lakini kama unajiamini kwa kuzungusha kiuno...Unaweza kumzungusha hapo hapo asiende kwingine.
 
Endelea na maisha binti,hapo usiwekeze moyo wako tena utapata hasara maradufu.
 
Habari zenu wanaJF,naleta kwenu story yangu ili nipate ushauri:2005 nilipata mpnz 2kapendana sana ndugu zake wakanifahamu na wangu pia...jamaa akawa anang'ang'ania anivishe pete ya uchumba wkt alikuwa anasoma chuo na mimi najifanyia kaz..nilimkatalia kwa kuwa alisema tutaoana baada ya miaka mi3 na ushauri wa wazaz ndugu,na jamaa ulisaidia ktk hilo wakasema kwa mila za kiafrika unatangaza uchumba huku unaanza process za ndoa,2008nikajiendeleza form5 na 6 ya one year.....alipomaliza chuo 2009akapata kaz nzur na mshahara mzuri san,akapewa nyumba na ukizingatia nilikuwa na pesa yangu kidogo ukichanganya na yake nikafanya shopping ya vitu vya ndani...baada ya miez6 sasa hapo ndio akaanza jeuri,dharau eti simfai wala sijui kufanya starehe n 2kawa tunagombana,akaacha kunijali wala kunishirikisha ktk mambo yake....nikavumilia yote..2009october nikaenda morogoro chuoni hapo ndio vurugu zikazidi kila nilipokuwa naenda kwake nakuta picha zangu zimetolewa ukutan,nguo za kike akawa ananiomba msamaha yanaisha 2kaendelea mpaka mwaka jana nilipomuuliza kuhusu NDOA akawa ananipiga kalenda 2kipanga akatoe mahari anasogeza miez mbele kila mara,wazaz wangu walikasirika sana kwa hilo isitoshe yeye zaman ndio alikuwa anaforce 2oane.....nilipombana akasema mama yake kamkataza kunioa nikamwambia tangu zaman kwa nin hakukataa hakunipa jibu sahihi ...dada zake wakashauri nishike mimba ndio atanioa au nihamie kwake NIKAKATAA kwa kuwa sikupenda anioe kwa kutopenda au forcing,kwa kweli ikawa vurugu mpk nilipomfumania kwake akiwa na mwanamke mwngne nikaamua basi tena niachane nae ila aftr 2months akawatuma dada zake wamuombee msamaha na mimi nikamsamehe kwa mapenz yangu ya dhati kwake tukarudiana kwa ahadi kibao ikiwemo ya kufunga ndoa.......mwezi wa 10akaniita kwake akaniambia nimsamehe kwa kuwa hawezi kunioa kwa kuwa anamsichana amempa mimba na hataki mtoto wa nje ya ndoa co SIRI nilizimia nikapelekwa hospital nikalazwa nikapata na BP na ulcers nilikonda ikawa kila siku nalia hata kusoma vizuri nashindwa ukizingatia ndio nipo mwaka wa mwisho....mama yake akamshauri kumtunza mtoto ila anioe mim kwa kuwa alikuwa amenipotezea muda akakataa,ikabidi nisalimu amri ingawa bado nilimpenda mwez uliopita wa 12yule msichana mimba imetoka jamaa anataka kurudiana na mimi ananisumbua kila kukicha ila sasa nimekataa katakata kwa kuwa hata ndugu zangu wamenikataza kurudiana nae maana niliteseka kwa ajili yake....Nampenda ila je nikirudi yakajirudia kama ya zamani?nipeni ushaur.

Mimi ni mwanaume kama yeye, tabia zetu tunazijua, ila ya huyu bwana imezidi, anasumbuliwa na tamaa tu hana jingine, kama alisema hujui mapenzi leo hii ukirudi kwake utakua unayajua? na je akimpa mimba msichana mwingine atafanya nini, atakuoa au atamuoa yule? je kama mama yake alimzuia leo kamruhusu? Ka kuwa ulizimia tu sasa ukirudi utapata kifo kabisa. Nakushauri utulie, malizia shule yako vema. Muombe Mungu sana atakupa anayekujali na kuuthamini utu wako, atakayekupenda, kukuheshimu, kukulinda na kukujali. Bado msichana, wanaume wenye dhamira za dhati wapo wengi tu. kwa ushauri zaidi nitumie PM nitakushauri zaidi, maana mimi ni mtaalamu wa counselling

Shame on you if you fool me once, Shame on me if you fool me twice aaa life goes on and its gona make me stronger......nenda kasikilize huu wimbo wa Leann Rimes
 
Msikilize mwenzake LeaNN inaonesha nae alikumbana na mazingira hatarishi kama yako

You sucked me in and played my mind
Just like a toy
You would crank and wind
Baby, I would give you all you want
You left me lying in a pool of doubt
Your still thinking your the daddy mack
Ya shouldn't known better
But'chya didn't
And I can't go back

Oh life goes on
And it's only gonna make me strong
It's a fact
Once you get on board
Say Good-bye
'cause you can't go back
Oh it's a fight
And I really want to get it right
Where I'm at
It's my fight before you
Got this feeling
That I can't go back

Wish I knew then what I know now
You held all the cards
And sold me out
Baby, shame on you if you fool me once
Shame on me if you fool me twice
You've been a pretty hard case to crack
Should of known better
But I didn't
And I can't go back

Oh life goes on
And it's only gonna make me strong
It's a fact
Once you get on board
Say good-bye
'cause you can't go back
Oh it's a fight
And I really want to get it right
Where I'm at
It's my fight before you
Got this feeling
That I can't go back

Na na na na life goes on
Na na na na made me strong

oh oh yea

Got a feeling that I can't go back

Life, Goes, on

On yea,
Life
Goes
On

Shame on you if you fool me once
Shame on me if you fool me twice
You've been a pretty hard case to crack
I should of known better
But I didn't
And I can't go back

Oh life goes on
And it's only gonna make me strong
It's a fact
Once you get on board
Say good-bye
'cause you can't go back
Oh it's a fight
And I really want to get it right
Where I'm at
It's my fight before you
Got this feeling
That I can't go back

Na na na na life goes on
Na na na na made me strong

oh oh yea

Got a feeling that I can't go back

Na na na na life goes on
Na na na na made me strong

oh oh yea

Got a feeling that I can't go back

Na na na na life goes on
Na na na na made me strong

oh oh yea

Got a feeling that I can't go back

Na na na na life goes on
Na na na na made me strong

oh oh yea
 
mikosi mingine ya kujitakia
sasa kila mwanaume anaetaka kukuoa akiuliza watu na kupewa habari
si ajabu akakimbia.....
yaani unajiuliza bado kama urudiane nae au la?

swali hapa sio kama anakupenda
swali hapa ni definition yako wewe na ya huyo jamaa ya kupenda......

wapo watu bila kudundwa 'hawajapendwa bado'.....
 
huto mwanaume:
1. HAKUPENDI
2. HAKUTHAMINI
3. ANAKUDHARAU
4. LIMBUKENI atakusumbua
5. HAJITAMBUI
6. HAJUI NINI ANATAKA KWENYE MAISHA YAKE, utaambulia headaches
7. Amekuona wewe KIRAKA?

achana nae
 
kutesa kwa zamu...mwanzoni wewe ndo ulidengua kuolewa, jamaa lazina naye aliugulia kimoyomoyo..........imekuja zamu yako kulia unaona kama yeye ndo mbayaaaaaaaa............

Kama mwanzoni ulikataa kuolewa mwanzoni ni vyema uwe mvumilivu sasa wakati mwenzio anadengua, itafika muda muafaka mta-converge.
 
u did not take advanyage of the opportunities presented to you in advance
 
Dada ngoja niwe Dr. Phil.
Huyu jamaa achana naye....hana mpango na wewe. Kuwatuma dada zake kumwombea msamaha kwa transgressions zake inamaanisha kwamba hayuko serious na wewe, pili anakuchezea. Unahitaji kum DUMP...umesikia dada yangu...mpige chini tena wala si kwa kelele wala purukushani wala usilete umati...kuwa mstaarabu chukua 50 zako...You know what....atakuja tu kukutafuta...sio leo may be sio kesho lakini atakuja tu....I promise you...najua maisha yatakuwa ya shida or whatever but you what...ili kupata fresh start lazima upitie kunako muda mgumu...na majaribu...You can do it....ni kipindi kidogo tu utakuwa miserable but ninakuhakikishia miezi mitatu utamsahau huyu mtu...maisha yako yatabadilika....you deserve better...not this....achana nae...fanya maamuzi magumu usipokee simu zake kuanzia leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom