Ananipa mapenzi yote bila kipimo

Hakuna linaloshindikana chini ya jua, pambania furaha yako
ha ha ha naogopa kichwa cha chini kisije kikaniharibia familia mkuu....najaribu kuchukulia kama sehemu ya historia inayotakiwa kujiandika katika maisha yangu ya ujana
 
Mkuu ukianza kula nyama ya mtu huachi!!!!! Tamaa imeshabeba mimba hiyo ohoooo
Pole kwa mwanamke mwenzangu kama na yeye hajapata wa kumpa kila kitu huko aliko
 
Mkuu ebu fanya maarifa mwenye mke akufumanie kwanza. Ili tupate wazo zuri la kukushauri. [emoji40][emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukianza kula nyama ya mtu huachi!!!!! Tamaa imeshabeba mimba hiyo ohoooo
Pole kwa mwanamke mwenzangu kama na yeye hajapata wa kumpa kila kitu huko aliko
ha ha ha mkuu si unajua si me kama uko mkamilifu ni vigumu kuvumilia mwezi bila kugusa ile kitu?
 
Wewe hujaGUSA tuu, umegusa ukaNASA kabisa
Hatari sana.....
Kwani vinakuaga na siri basi!? Siku yakikufika usiache kuja kutumwagia hapa tukupe pole hehehe
 
ha ha ha tunaomba yasitokee hayo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…