Ananipa mapenzi yote bila kipimo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,163
Reaction score
64,220
Ananipa mapenzi yote bila kipimo...

Huyu mdada nimekuwa naye kimahusiano zaidi ya miezi sita sasa, yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu. Akija kwangu atanihudumia kama mumewe mfano kufua, kupika, kufanya usafi, kunipa tendo staili zote bila kipimo n.k

Amekuwa ni mtu wa kunipa furaha na kunichangamsha hasa pale ninapokuwa mpweke. Changamoto iliyopo ni kuwa, uhusiano wetu hauna 'future' zaidi ya kupeana raha tu kwa sasa. Hofu yangu ni kuwa, nitaishije ifikapo muda wa huyo bi mdogo kuondoka na kurejea kwenye mji wake wakati mi nimeshamzoea? Najihisi nitakuwa 'lonely' sana.
 
Equation x fanya mambo umuunganishe mke wako na mume wa huyo mwanamke
Utakua umemaliza kabisa upweke.
ha ha ha haiwezekani hiyo mkuu, yeye ana watoto huko aliko na mimi nina watoto kule niliko...ila tumekutana katika maeneo ya kazi tu..huku wote tukiwa mbali na familia zetu
 
ha ha ha haiwezekani hiyo mkuu,yeye ana watoto huko aliko na mimi nina watoto kule niliko...ila tumekutana katika maeneo ya kazi tu..huku wote tukiwa mbali na familia zetu
Hakuna linaloshindikana chini ya jua, pambania furaha yako🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…