Ananionea aibu kunipa jibu

Ananionea aibu kunipa jibu

Sio kusudio langu wakubwa kuwauzi.na anaetaka kabila langu, nzuipa kukawa

TELL LIKE THAT ONE ,Waweza jua kwamba mimi ni msaliti wa mapezi lakini mm nimekuwa mtu wa watu nisiye jua kuchagua wala kubagua lakini ktk mapezi siwezi kwenda kinyume na sheria niamini nimelithamini penzi lako,kama kweli unanipenda naomba ufumbe macho unisogeze machoni pako mbele ya uso wako hakika uchovu utapungua na nguvu kurudia, fanya hivo mara moyo wangu nakupenda sana sakafuwangu mtarajiwa.IF U SHALL LEFT ME ALONE I CAN ACT DO STOP MY BREATHING

By Mashaxizo

Dogo acha uboya!

Kama hajui kukubali au kukataa kwa mdomo, fanya kwa vitendo! Eee! Kama nyoka vile! Unaanza mikononi kwenda kifuani! Akitulia tu ujue uyo anajifkiria!

Achana na hapo!

Anza tena miguuni mwake kuelekea kuleeeeeee! If Akibana bado hajajiamini, rudi tena kifuani! If akifungua chokeka kitu kigumu na sepaaaaaa!

Eee! Out of site...beibe!
Duh we hujatulia kabisa!!!
Nakweli ajatulia

Wana MMU Kwa msichana Ambae umemtongoza na akakuonyeshea dariri zote amekubari rakini ukimwambia akupe jibu ilikusudi upate uhakika anakaa tu kimya na hakatai wala hagomi na anabaki tu anaona aibu kuongea. Jamani wana jf mnanishauri nifanyeje mimi ili kusudi asiniogope

Lugha imenenepa sana huku duniani.
Hii nayo sijui maana yake ni nini.....dariri .........

Similar Discussions

Back
Top Bottom