Yah......dariri zote kama amekubari rakini wewe huerewi........
Wana MMU Kwa msichana Ambae umemtongoza na akakuonyeshea dariri zote amekubari rakini ukimwambia akupe jibu ilikusudi upate uhakika anakaa tu kimya na hakatai wala hagomi na anabaki tu anaona aibu kuongea. Jamani wana jf mnanishauri nifanyeje mimi ili kusudi asiniogope
aroooo....
aroooo....
Yah......dariri zote kama amekubari rakini wewe huerewi........
Yah......dariri zote kama amekubari rakini wewe huerewi........
Ahahaha Mashaxizo na wenzako jiandaeni kujibu kesi....!
We kabila gani? hiyo lafudhi yako tu mie hoi
wanawake wangekuwa wanaripoti vitendo vya ubakaji, watu kama Mashaxizo tusingekuwa nao tena uraiani
tutakuja kufundisha watoto masuala yaliyo nje na uwezo wao. Ahhh ndio matokeo ya utandawazi hayo
hivi mnarudi lini shule?
Mnachosha sana!