Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,858
Jisemee nafsi yako
Jisemee nafsi yako
Gia tu hiyo... ukimpa jiandae kuhudumia...Poleni na majakuku.Kuna manzi ametokea kunipenda na kunikubali hali ya kuwa mimi pia kuna manzi nampenda.ila ch ajabu huyu manzi kila nikiumuomba mchezo anakubli ila sharti lke ataki tutumie kinga.cku moja nikamuuliza kwann akaniambia anataka nimpe zawad ya mtoto anadai hata nikimpa nimuache tu na tusijuane kabisa. hali ya kuwa mimi sina mpango huo kwa sasa na sijapanga kuwa na mtoto .USHAURI WENU WADAU
Sent using Jamii Forums mobile app