chagga dady
Member
- Mar 20, 2019
- 31
- 23
- Thread starter
- #21
Sijawahi kulana kimasihara, nakulana kwa kudhamiriaDamned Demi tupe story yako kwanza ya kukulana kimasihara na watu wa JF!
In Damned Demi voice!
Aise Bwashee...kaa mbali na izo mambo uo ni mtegoPoleni na majakuku.Kuna manzi ametokea kunipenda na kunikubali hali ya kuwa mimi pia kuna manzi nampenda.ila ch ajabu huyu manzi kila nikiumuomba mchezo anakubli ila sharti lke ataki tutumie kinga.cku moja nikamuuliza kwann akaniambia anataka nimpe zawad ya mtoto anadai hata nikimpa nimuache tu na tusijuane kabisa. hali ya kuwa mimi sina mpango huo kwa sasa na sijapanga kuwa na mtoto .USHAURI WENU WADAU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si kukata tamaa hivyo vitu vipo, binafsi kuna binti huniomba nimuwekee mimba akiamini kuwa atapata mtoto mzuri, binti ana miaka 22 yuko chuo, maskani yao familia bora anasoma uku anasimamia biashara za mzee wake. She is smart.
Mkuu si kukata tamaa hivyo vitu vipo, binafsi kuna binti huniomba nimuwekee mimba akiamini kuwa atapata mtoto mzuri, binti ana miaka 22 yuko chuo, maskani yao familia bora anasoma uku anasimamia biashara za mzee wake. She is smart.
Kinuonekano ni mzuri pia sana tu.Hayo maisha yapo mkuu wala si kukata tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we mchaga? Ndo maana unapenda vyura maana huko kwenu hawapatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwataka mnawataka usiseme uongoKule hakuna matonya Kama kwenu
Vyura wasumbufu Sana Ndiyo maana hatuwataki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba yake nimpe hyo zawadiPoleni na majakuku.Kuna manzi ametokea kunipenda na kunikubali hali ya kuwa mimi pia kuna manzi nampenda.ila ch ajabu huyu manzi kila nikiumuomba mchezo anakubli ila sharti lke ataki tutumie kinga.cku moja nikamuuliza kwann akaniambia anataka nimpe zawad ya mtoto anadai hata nikimpa nimuache tu na tusijuane kabisa. hali ya kuwa mimi sina mpango huo kwa sasa na sijapanga kuwa na mtoto .USHAURI WENU WADAU
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 umempa ushauri mzito sijui kama atakujibu hili swala la kuoa.Huyo mwanamke ukae ukitambua "utamuoa"
kama unajua huto muoa ACHA KABISA
akirudia kukusisitiza achana nae la sivyo utamtengeneza single mother



Nipe number yakePoleni na majakuku.Kuna manzi ametokea kunipenda na kunikubali hali ya kuwa mimi pia kuna manzi nampenda.ila ch ajabu huyu manzi kila nikiumuomba mchezo anakubli ila sharti lke ataki tutumie kinga.cku moja nikamuuliza kwann akaniambia anataka nimpe zawad ya mtoto anadai hata nikimpa nimuache tu na tusijuane kabisa. hali ya kuwa mimi sina mpango huo kwa sasa na sijapanga kuwa na mtoto .USHAURI WENU WADAU
Sent using Jamii Forums mobile app


Wewe mpe mimba atakugeuka mchana kweupe na utaoa, haya majaribio ya ndoa za bomani mdada kamdanganya mkaka wqfujgevili asiende kijijini ile kutunga kamwambia wewe ni mme wqngu ukinikataa mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app