Ananiomba zawadi ya mtoto

Ananiomba zawadi ya mtoto

chagga dady

Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
31
Reaction score
23
Poleni na majakuku.Kuna manzi ametokea kunipenda na kunikubali hali ya kuwa mimi pia kuna manzi nampenda.ila ch ajabu huyu manzi kila nikiumuomba mchezo anakubli ila sharti lke ataki tutumie kinga.cku moja nikamuuliza kwann akaniambia anataka nimpe zawad ya mtoto anadai hata nikimpa nimuache tu na tusijuane kabisa. hali ya kuwa mimi sina mpango huo kwa sasa na sijapanga kuwa na mtoto .USHAURI WENU WADAU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kuanzisha familia Kama mama (mpenzi wako)

akiwa tayari na hilo basi mpe anachotaka,timiza furaha yake

only if

una uhakika 100% mawazo ya huyo mpz wako yanatoka kwenye serikali

ya kichwa chake na si kwamba ni mtu anamshawishi afanye hivyo.
 
Poleni na majakuku.Kuna manzi ametokea kunipenda na kunikubali hali ya kuwa mimi pia kuna manzi nampenda.ila ch ajabu huyu manzi kila nikiumuomba mchezo anakubli ila sharti lke ataki tutumie kinga.cku moja nikamuuliza kwann akaniambia anataka nimpe zawad ya mtoto hali ya kuwa mimi sina mpango huo kwa sasa na sijapanga kuwa na mtoto .USHAURI WENU WADAU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzae halafu msaidiane kulea la sivyo Ustawi unakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom