Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo.
Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa?
Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo, pamoja na ubora wa kitendea kazi chake.
Nimekuwa kama vile mfungwa.