Mama Mkwe hataki nifanye tendo la Ndoa na mtoto wake

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Jumatatu imeanza kwa kuwa ubusy kama kawaida yake. wazungu anaita "Blue Monday" nimefika mapema ofisini kuepuka foleni nikiwa parking nimetulia anakuja mfanyakazi mwenzangu na mdogo wangu pia jina la utani wanamwita "Messi" baada ya salamu na ukimya wa sekunde kadhaa akanambia kwa utaratibu huku ameinama mwenye mawazo.
"bro kuna jambo linanisumbua kwa sasa ni muda mrefu sana... linanipa shida sababu nashindwa namna ya ku lipresent kwa mhusika" binasfi huwa sipendeli kuchimba maisha ya mtu ila mtu anaponihusisha maisha yake hupenda ku pay attention kumsikiliza. nikamuuliza kwa upole kidogo nikiwa nimekaza uso. "nini tena injinia" ni jamaa yetu aliyesoma computer engineering so mimi binafsi hupenda kumwita injia. akaanza kunisimulia.

"ni muda mrefu nimekuwa na tatizo na wife na mama yake. toka baba mkwe wangu afariki mwaka juzi kumekuw ana kausumbufu ambako kwa sasa kamepitiliza. nimekuwa nikijisikia hii kero kwa muda sasa. mama mkwe anatabia ya kupiga simu usiku sometime saa 4 au tano usiku kumsalimia mtoto wake na wakati mwingine wanaanza kupiga stories.

jambo hili kiukweli lina nikera sana maana sometime tunajiandaa kuanza tendo la ndoa simu yake inaita wife inabidi apokee..akipokea hapo wataongea hata saa nzima. ni stories tu na habari za kawaida.kwanza inanikata stimu but pia huo ni wakati wa mimi kulala na mke wangu. tabia hii imekomaa kiasi kwamba kwa sasa imekuwa kama n mazoea. nimejaribu kumwambia kwa busara wife kuwa asiwe anamsumbua mama kumpigia simu mida hiyo.. hakunielewa maana alinijibu si yeye anayepiga ila ni mama yake. ingawa mimi nlitaka aelewe mida hiyo si mizuri kumpigia simu mke au mume wa mtu.

si hivyo tu huwa namwambia ingekuwa vizur kama mawasiliano mwisho saa mbili unless ni dharura.but why mtu apige simu saa nne sa tano usiku? wife haelewi jambo hilo. mpka nimeanza kuhisi pengine mama mkwe hataki niwe napata haki yangu ya ndoa? kwa nini apige simu muda huo?je angekuwa na mumewe kitandani muda huo angefurahishwa na hilo jambo?" aliuliza injinia huku amekunja sura. akameza mate akaendelea.

"bro kuna siku alipiga simu wakati tuna do...wife hakuisikia sababu ilikuwa kwenye vibration.nliipokea halafu nikaendelea kupiga kazi nikitoa sauti kubwa na wife naye alikuwa anatoa sauti ya mwitikio kutokana na lile tendo.nilipokea makusudi ili asikie then angeacha hiyo tabia.kama dk 2 ikawa ipo hewani akakata. baada ya dk 13 akapiga tena nami nikapokea haraka haraka maana wife alikuwa chini so hakuwa hata anatilia maanani mimi nlikuwa naona inavyoita. nikapokea tena...ikawa hewani kwa dk 1na sekunde 48. ina maana alikuwa anasikiliza.

baadaye ikatumwa meseji tukiwa sasa tumemaliza wife ameenda kunawa na kunichukulia kitaulo anifute..nikasoma text yake " mkimaliza basi unipigie maana naona simu inajipokea nasikia makelele yenu tu" nilichoka sana na huyu mama. nlimwachia wife ile text alipofika haraka nikachukua simu yake ni kusema kuna text iliingia sijui atakuwa nani si mstaarabu anapiga au kutuma text usiku huu... nikafungua nikajifanya nasoma nikampa. akaichukua simu na kusema " aaahh.. ni mama huyo ngoja nimpigie" niliudhika sana.mi sielewi nifanye nini maana yeye anaona kama eti mama yake anataka faraja toka mumewe afariki mwaka juzi.

hii tabia imenishinda maana sasa nataka niache kufanya naye hilo tendo maana ni kero hamna muda wa kuandaana na hata hatufanyi kwa amani.nataka niache tu awe anapokea simu ya mama yake waongee muda wote ikiwezekana nihame na chumba" alimalizia kuzungumza injia akinitizama usoni kama vile sasa amefikia uamuzi huo na anataka nimuunge mkono. nikaona jambo hili niwashirikishe wenzangu watu wazima JF pengine wameshawahi kukutana na changamoto kama hii.
 
Basi mtafune yeye...ebo!!

Ingekuwa mimi ningekuwa nishamla yeye.
Hiyo avatar mmmmh!!!!!!!!! Mie simo waaalllahi!

477155.jpg
 
Duniani kuna vioja vingi sana,jamaa yako ajitahdi kuwa tafuta wazee wa Dini awaeleze ili waweze kuzungumza na mama mkwe...nina uhakika jambo hilo halitajirudia tena!
 
Naunga mkono juhudi za mama mkwe
 
weka huo uzi dada... maana sioni sababu ya kuanza kutokwa povu. na kama ime kuwa copied huko na kuja kuw apasted hapa moderators wanifungie week nzima. otherwise unapaswa tu nawe ukue ...kwa sisi wanaume huwa tukikua tunapelekwa jando miaka ya nyuma lakini. kwa wanawake wanachezwa ngoma... sasa sijui kwa maisha haya kama bado kuchezwa ngoma kwa huku mjini kupo. otherwise ni suala la kujiongeza tu na kutumia akili ndooogo sana.
Fact, huu uzi upo! Jamaa limecopy huko, naanza kuona story za huyu jamaa nyingi ni fake....
 
ha ha ha.. weekend yangu haikuwa na kashkash ndugu yangu.... nliitumia kwa utaratibu tu nikiwa nimeitundika miguu juu na mguu mwingine unaning'inia tu umepumzika.

Gudume ulikuwa unasubiriwa ulete mrejesho ulivyospend weekend, na nani ulikuwa nae, kapigwa vingapi. Sasa unaleta habari za engineer na mkwe wake
 
Back
Top Bottom