Ananilizimisha ni sex nae

she might be a virgin beatifully mary,let her fulfill her promise to her future husband.hataki wapita njia waenjoy pia,maada wadanganyifu kibao siku hizi..mh!

uko karne gani kamanda mkuu?? Mbona hii ni kawaida, wadanganyifu kibao sku izi mtaani
 
What is the point ya kusex baada ya kujitambulisha?Nini point ya kusex?Kila mtu sex sex!Kwanini msikae hivyo hivyo?Aaah!
 
Daah yaani mtu akishakuja home mnaona ndo ruksa kufanya nae mapenzi? Kwani mtu kuja home ndo guarantee ya nini?
Mapenzi sio kutambulishana tu,
yaani hata siwaelewi kwa kweli,utakuja kuachwa vibaya wewe ohooo,hv suppose mwanaume amekuja kwenu kujitambulisha then ukampa tunda akasepa huoni utakuwa na wakati mgumu sana huko hme? Si nuksi unajitafutia.mapenzi yanajengwa na watu wawili wala hayana condition,mimi na uprofesa wangu kwenye fani sijawai kumpeleka mwanaume yeyote home
tunakutana kimjinimjini tunaachana kimjinimjini
upuuzi mtupuuuuuuuuu

Huh hahaha asante sana mamie umenifurahishaje. gdluck dia.
 
Kuepuka kulazimishwa sex, wawe wanakutana Open Space kukutana ghetto ndio kunakopelekea yote hayo!

Ukikubali kuolewa uwe tayari kulala bila chupi. Kama amekubali awe 'MPENZI' wake obviously hawawezi kukutana 'OPEN SPACE'! Sex is overrated though
 
Ukikubali kuolewa uwe tayari kulala bila chupi. Kama amekubali awe 'MPENZI' wake obviously hawawezi kukutana 'OPEN SPACE'! Sex is overrated though

watu wako kwenye fast lane ile mbaya siku hizi, yaani mkishakuwa b/g friends siku mbili tatu tu mtu anataka game...
 
hawa ndo wale wanaotumia sex kama fimbo ya kuolewa.(kama unataka nioe) akiona haijafanya kazi atampa halafu atabeba mimba makusudi ili mradi aolewe tu.hivi kipi kizuri, mapenzi yafe kabla ya kutambulishana au yafe baada ya kutambulishana?. watu kama hawa mwisho wao huwa mbaya sana. Mia

Yan mie nimekosa hata cha kumshauri!nimemuliza yy ni bikira?maana inawezekana anadunguana na wengine ila kwa vile kaona jamaa ana nia anataka kuleta ishu zake!mie naona imekaa kitoto sn,b
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/209947-ananilizimisha-ni-sex-nae.html
 
:hat:Mi nadhani huo ni utoto tu,kwani ku-suck ni kitu gani-hadithi ile ile tu? mtu anaweza kuwa anamegwa na watu kibao huko nje then anamletea mpozi huyo anayeitwa "mchumba" upo hapo? Lazima tuwe serious jamani
 
Hawa watoto wa siku hizi...mhhhh...kazi kweli kweli!!

Kwa nini wasiridhike na hizo sex wanazofanya kwanza ili waende mdogo mdogo??

Kwani ni kazima kukimbilia penetrative sex??
 
jamaa anataka kumega fasta aanze mbele - hizo nyingine ni longolongo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom