Ananilizimisha ni sex nae

Sasa unataka rafiki yako aolewe bila kumegwa kwanza?
Hayo mambo ya kizamani .... mwambie kama ameshananihii, bora ananihii kabisa kwa sababu hamna tofauti.
 
Kuolewa bila kujuana kwa undani nalo ni tatizo kwa karne hii!!!ina faida zaidi ya hasara kwa pande zote mbili!!pia inajenga bond na kujenga upendo halisi!!
 
habari wana jf ,jamani kuna issue imemtokea my friend ila kaniomba ushauri afanyaje nikaamua kuleta jamvini kabla cjampa ushauri.Ni hivi huyo rafiki yangu ana BF ambae walianza uhusiano ka miezi mitatu iliyopita lengo la mwanaume wasisex mpk aje kujitambulisha nyumbani lakini mwanzoni kaka alikubali ila kadri cku zinavyoenda kaka anamlazimisha wafanye deepkic then amu suck, kila wakikutana kaka anamkic ,na kumlazimisha amsuck...... ila dada akakataa coz anaenda kinyume na makubaliano.ss ii juzi anamlazimisha wa sex ndo alikua anaomba ushauri afanyaje?

Hapo kwenye hayo makubaliano walidanganyana tu! Hamna mwanaume rijali anaweza kuwa na dem akakaa miezi mitatu bila kumtafuna! Labda enzi za mwalimu!
Mwambie ampe jamaa yake nyuche, wafurahie pamoja afu mambo mengine yaendelee! Aache mambo ya kizamani.
 
hivi kumbe kufanya sex mtu unaweza kuomba ushauri eeh.....mi najua ni mawili tu kufanya au kutokufanya, haya ya ushauri ni kupotezeana muda tu coz naamini mhusika ameshaamua atafanya nini........sex haina ushauri. Kuna siku watu wataomba ushauri wa kufanya sex wamesimama au wamelala...hivi vitu vinakuja tu...ushauri wa nini....amua mwenyewe.
 
Daa tongoza nyingne zinacost sana alianza kwa kumdanganya anampenda then anaanza omba mzigo, mie huwa naenda direct nataka game hayo ya kukupenda ni matokeo ya game zuri.
 
Ha ha ha, ni swali tuliloulizwa ndo kituko.
Inabidi na sie tujibu kivituko hivo hivyo

nikifikaga kwenye comment zako huwa natulia kidogo jaman una vituko sana...utakuwa dada km sio wife wa bujibuji(joke)
 
huyo binti mzushi kesha tumika sana ndo maana anamlazimisha jamaa akajitambulishe kwanza maana anajua jamaa akisha onja tunda atamwaga vumbi
 
Mwongozo huu unaweza kumfaa:
1. Anaamini dini gani na inamfundisha nini kuhusu jambo hili?
2. Yeye ana umri gani na kama ni above 18 na ameshajiweka sawa basi afanye uamuzi wake mwenyewe
3.Uamuzi wowote atakaouchukua awe tayari kwa matokeo.

Hayo yote aliyokwisha yafanya mpaka sasa deep kissing, oral sex vyote ni ngono!


Watu wanatambulisha wenzi nyumbani siyo kupata kibali cha kusex bali kuoana!Kama anataka asex baada ya kutambulishana nyumbani huo ni utovu wa nidhamu! Kama anataka kufanya afanye tu haiihitaji kupelekana nyumbani.
 
huyo bibie inaelekea anaogopa jamaa asije akala then akasepa either iwe keshajitambulisha kwa wazee or no.
Cha msingi asitoe kitumbua tu, asubiri ndoa hapo ndipo tulipohalalishiwa.
Hakuna haja ya kufanya haraka wkt hayo mambo yatakuja yenyewe.
Siku hizi almost w'ume wote wababaishaji, anaweza akajitambulisha akavisha na pete jamaa akala kitumbua then akamkimbia asimuone teeennnnaa na pete akamuachia.
 
huyo bibie inaelekea anaogopa jamaa asije akala then akasepa either iwe keshajitambulisha kwa wazee or no.
Cha msingi asitoe kitumbua tu, asubiri ndoa hapo ndipo tulipohalalishiwa.
Hakuna haja ya kufanya haraka wkt hayo mambo yatakuja yenyewe.
Siku hizi almost w'ume wote wababaishaji, anaweza akajitambulisha akavisha na pete jamaa akala kitumbua then akamkimbia asimuone teeennnnaa na pete akamuachia.
Bora amalizie tu!!
Ni sawa na gf wako akuambie kuwa rafiki yako mwuongo, hajala kitumbua changu ila alipata denda halafu nikampa head, thats it.
Wewe utajisikiaje?...... bora hata asikuhadithie.
 
Cha muhm ahakikishe wanatumia condom. Akiendelea kuwa mbish atakuja kukubali mazingira ambayo hakutarajia na asiwe na zana, then ngoma au mimba.
 
Angesema hataki sex kwa hofu ya Mungu au kutunza heshima yake kama msichana ningemuelewa...ila hii ya had utambulishwe ni kazi? Hili linanipa picha jinsi mahusiano yalivyo complicated na values zetu zilivyo tofauti, kama hutaki basi uwe na sababu sahihi ambayo hata yeye ataielewa...lakini pengine inawezekana ameshaachwa mara nyingi,umri umeenda na idadi ya wanaume ambao ameshawapa ni kubwa kiasi kwamba anaona tabu kuendelea kuiongeza,anatamani tu wa mwisho atakayempa awe mumewe...kazi kweli jamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom