Ananijaribu au yupo serious?

Ananijaribu au yupo serious?

Hayo malengo unataka yatimie lini na kikwazo nini mpaka ushindwe Kutoa posa ukaweka jiko ndani malengo mkayakamilisha wote
 
Wewe hauna tofauti na mtu aliyefuga paka hata akikosa mboga hawezi kumchinja paka.

Jitahidi uwe unafuga kuku mkuu.
 
SUBIRI BASI HAYO MALENGO YAKO YAFIKE...NAOMBA USIMHARIBU BINT WA KIISLAAM HUYO...UKIONA HAKUFAI KWA UNAYOYAHITAJI MUWACHE UKAFUATE UNAOENDANA NAO...

ALLAH AMLINDE HUYO BINT NA HILA ZAKO NA SHETWAN ALIYE NDANI KWAKO...
Amen amen amen
 
Njia gani tena? Hizo walizotoa wadau hapo juu ndo nzuri cha msingi amuhaidi ndoa feki yaani aende ukweni akaigize tu atampata kiulaini
Unajua laana ya kuwadanganya wazazi wa mtu...... Kuna vijana hamna hekima wala busara....

Bogus[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Muache kula vya watu kama hamna mpango nao waambie hao wadada

Acha kuniita bogus sijakutukana
...Twat... [emoji5]
 
Nimekuwa katika Mahusiano na binti kwa miezi mi 5 sasa, Kwa matendo anaonekana ananipenda (ana care, ananiskiliza, ana niheshimu) ila shida kubwa sijawahi kusex nae sababu anaswali ( ni Muislam)....

KISA KILIPOANZA

Nilimuomba tukimaliza mwezi mtukufu Nile tunda (tusex) akakubali kuwa atanipa. Sasa tumemaliza namuomba hataki na anadai kama siwezi kuvumilia niachane nae mm katika maongezi nikamwambia naheshimu maamuzi yake ila "Ningeweza ningekuwa na mwanamke mwinginine na asijue ila namuheshimu" hili neno nililopigia mstari likamkera sana, Jana usiku akadai tuachane ila akapindua maamuzi na kusema kanisamee Baada ya mm kubembeleza...

SWALI KWA WAJUZI

Kaka na Dada zangu huyu kiumbe anajaribu kunitisha kwa kauli yangu niliyopigia mstari hapo juu au anaweza kuwa serious sielewi na sitaki kumpoteza Nina malengo nae......
Kama una malengo nae fanya uyatimize ila kama unaendelea na huo ulaghai basi huwezi yatimiza hayo malengo...fanya umuoe
 
Asante kwakunisaidia maana ningetoa neno kali sana
Jaribu manina [emoji23] uone kichaa changu nkutolee uvivu nina matusi kama millions sion shida tuonekane hamnazo.. Please my dear sister embu jaribu kdogo
 
Hapo ndipo ninapochokaga, anakuzungusha weee siku akikupa unashangaa hana bikra zote,yaani ashachakaa kinyoko
 
Nimekuwa katika Mahusiano na binti kwa miezi mi 5 sasa, Kwa matendo anaonekana ananipenda (ana care, ananiskiliza, ana niheshimu) ila shida kubwa sijawahi kusex nae sababu anaswali ( ni Muislam)....

KISA KILIPOANZA

Nilimuomba tukimaliza mwezi mtukufu Nile tunda (tusex) akakubali kuwa atanipa. Sasa tumemaliza namuomba hataki na anadai kama siwezi kuvumilia niachane nae mm katika maongezi nikamwambia naheshimu maamuzi yake ila "Ningeweza ningekuwa na mwanamke mwinginine na asijue ila namuheshimu" hili neno nililopigia mstari likamkera sana, Jana usiku akadai tuachane ila akapindua maamuzi na kusema kanisamee Baada ya mm kubembeleza...

SWALI KWA WAJUZI

Kaka na Dada zangu huyu kiumbe anajaribu kunitisha kwa kauli yangu niliyopigia mstari hapo juu au anaweza kuwa serious sielewi na sitaki kumpoteza Nina malengo nae......

Hapo kuna mawili
1) Ni kweli ana misimamo yake kuwa hataki sex before marriage
2) Hajavutiwa na ww kingono /hakupendi..na ana mwanaume wake pembeni ambae huwa anampa hadi tigo mudy92
 
Mara nyingi almost 80% wanaangukia hapo na nina wezangu washakumbwa na hii kitu.
 
Jibu ni moja tu hakuna mkate mgumu kwenye chai HUYO HAKUPENDI
 
Acha pupa. Tulia kidogo muwekee malengo bandia mezani, mtambulishe kwa Dada zako, jitaidi umuambie kuwa kuonana na mama yake mzazi akikataa mchimbe mkwara wa nguvu kuwa anakupotezea mda hakupendi.akikubali nenda ujitambulishe kwa mama yake kuwa wewe ndiye Mchumba wa mtoto wake baada ya hapo tafuta Rafiki yako mwenye Kuwa na umri mkubwa kukuzidi muandae vizuri ajitambulishe kuwa yeye ndiye kaka yako na amekuja kumuangalia kwa sababu tayari Ana taarifa zake. Baadaye muambie demu kuwa Kuna mjumbe wa familia anataka kumuona kwahiyo anatakiwa. Akifika tu wataongea kidogo alafu mgeni ataondoka na kuwaachia uwanja. Ulimwambia demu eti nataka papuchi hata kuelewa kwa sababu haujui huo mchezo. Anza kwa michezo, baadaye una muambia kuwa naomba unibusu akikataa muakikishie usalama wake kwa kumuambia kuwa hauta mfanyia chochote unaeshimu uamuzi wake akikubali mpe denda ya nguvu huku ukimgusa sehemu hatari kama maziwa na mbavu zake... Mzuka utampanda na papuchi utakula.
Mwanao wa kike nae atafanyiwa zaidi ya hayo hayo...hata mama yako mzazi...
 
Nimekuwa katika Mahusiano na binti kwa miezi mi 5 sasa, Kwa matendo anaonekana ananipenda (ana care, ananiskiliza, ana niheshimu) ila shida kubwa sijawahi kusex nae sababu anaswali ( ni Muislam)....

KISA KILIPOANZA

Nilimuomba tukimaliza mwezi mtukufu Nile tunda (tusex) akakubali kuwa atanipa. Sasa tumemaliza namuomba hataki na anadai kama siwezi kuvumilia niachane nae mm katika maongezi nikamwambia naheshimu maamuzi yake ila "Ningeweza ningekuwa na mwanamke mwinginine na asijue ila namuheshimu" hili neno nililopigia mstari likamkera sana, Jana usiku akadai tuachane ila akapindua maamuzi na kusema kanisamee Baada ya mm kubembeleza...

SWALI KWA WAJUZI

Kaka na Dada zangu huyu kiumbe anajaribu kunitisha kwa kauli yangu niliyopigia mstari hapo juu au anaweza kuwa serious sielewi na sitaki kumpoteza Nina malengo nae......
tafuta wadada wa kimasai wanajua kukata viuno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom