Ananiganda sana mpaka sina raha

Lea mimba usikimbie starehe yako hyo inner peace Ni sababu tu ka ulijua humukubali why ulienda pekupeku, baada ya mimba ndio anakuganda eeeh?
nazani kuhusu kwenda peku nimeelezea hapo kuwa ilikuwa kwa ajiri ya ku revenge lakini matokeo yake yamekuja kuwa tofauti na matarajio
 
nazani kuhusu kwenda peku nimeelezea hapo kuwa ilikuwa kwa ajiri ya ku revenge lakini matokeo yake yamekuja kuwa tofauti na matarajio
Sasa ka ulikuwa una revenge kubali tu ulee how can you revenge someone without using condoms, huoni unamtesa mtoto ambaye hakukutuma u revenge?
 
kuna watu wanatamani kuitwa baba bt fursa hiyo haijapata kutokea japo daily wanaipigania, wewe umepata fursa hiyo unataka ikimbia, sasa kama anauwezo wa kujikim hofu yako ni nini?
sio mimi mwenye uwezo wa kulea lakin mama mtarajiwa yuko vizuri 100× zaid yangu, ila tatizo hapo ni kuwa moyo wangu unaona kama nna hatia yaani nimekosea sana kimpa mimba mtu asiyestahili, hana sifa za kubeba kiumbe changu kutokana na mambo aliyokuwa anayafanya nyuma
 
Sijui kwanini nimeanza kusoma chini kwenda juu.
Enwei pole mwamba..akili kumkichwa.
 
Sasa ka ulikuwa una revenge kubali tu ulee how can you revenge someone without using condoms, huoni unamtesa mtoto ambaye hakukutuma u revenge?
hapo shida sio mtoto tena ntafurahi km atazaliwa wa jinsia ya kike, shida ni kutokuwa na amani na mama yake huyo mtoto
 
Kila Mtu uwa anatabia ya kusifia pisi yake,shida fika uione[emoji23][emoji23]
Kwa Tabia ulizoeleza za hii pisi,ni wale madem wabovu sura mpaka Tabia hata umbo,uwa wanalingia vinafasi walivyonavyo,na wanajua sana kunata ni kupelembesha watu ili mradi uje uingie kingi,ukaimbishe,
Usikasifie Mkuu we kakimbie tu,temana nako iwe fundisho kwa wengine
 
nakushauri uketi na huyo mwanamke hata kama alikukosea sana, kumbuka hakuna mkamilifu.
 
kwa uandishi huu hii ni chai [emoji477] kbsa mkuu umejifunza wapi uandishi na matamshi yani kama standard one vile anaandika
 
kuna pisi hapa duniani nzuri kwako kwangu ya kawaida, kuna nyingine za kawaida hizo uzuri wao tunasemaga upo ndani kwa ndani, kuna nyingine ndo zile u zuri wa mwanamke tabia, lakin nyingine hata malaika hawapingi kuwa wamebarikiwa kwa vile viungo vyao vilivyopangiliwa kwa vipimo thabiti vikapangika, pisi yangu haina sura ya kihaya wala umbo la kunyakyusa, hana miguu ya kirangi na nywere za waha huyu wangu ni aina ya pisi ambazo huishi kuziota yaani hata pisi zingine zinatamaniz ingekuwa kama yeye, hana umbo ka la sanchi au posh queen sura ya maua sama au kamanda jide.........naomba niishie apo
 
Nilishawahi jiuliza hili pia, lakini pisi kali kitaa mbona ni chache tofauti na mapambio yaliyomo humu??
Noma sana! Vijana wanajitahidi kuonekana mashababi kwa kuibua watoto wazuri
 
sisi wazazi tunakosea wapi kuzaa watu wa hivi
 
Mwambie akufanyie maconnection pale ofisini kwao acha kukaa kizembe.

Kwanza 'mtoto wa kiume' unaanzaje kuweka kinyongo kisichokuwa na maana kwa hiyo 'pisi' yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…