Ananiganda sana mpaka sina raha

Ananiganda sana mpaka sina raha

Mkuu, mimi siyo mhusika wa hii hadithi.

Siku hizi kupata anayekuganda (tena pisi kali) ni bahati sana halafu yeye anaichezea. Ngoja naye Karma itakapobadili kibao agande asipotakiwa ndiyo atajua wahenga walimaanisha nini waliposema mkuki kwa nguruwe....
hili siwezi kukwepesha hata kidogo na wala pia siwezi tumia nguvu kumuelezea ila niwe muwazi kwa mala ya kwanza kumuona alichukua attention ya kikundi chetu chote cha Wageni sisi na mpaka sasa baadhi ya watu wanatAmani wangekuwa wamevaa uhusika wangu kwa kuona kuwa hiyo ni nafasi ya dhahabu lakin ukweli ni kuwa kitanda usicholalia huwezi jua wingi wa kunguni wake
 
Mkuu, mimi siyo mhusika wa hii hadithi.

Siku hizi kupata anayekuganda (tena pisi kali) ni bahati sana halafu yeye anaichezea. Ngoja naye Karma itakapobadili kibao agande asipotakiwa ndiyo atajua wahenga walimaanisha nini waliposema mkuki kwa nguruwe....
Mwambie ashirikishe watu wazima....labda ataelewa
 
Hahaaaa hii story ya shingongo tu jamaa Katia mimba life gumu hapo anataka kumtelekeza huyu dada, hizo story za kazini hadithi tu ili aambiwe akimbie loh

Kukimbia mimba naonaga ni dhambi sana. Ni afadhali tu kupambana aisee hata kama ni kwa kubeba zege. Ila labda yote ni Shigongo tu na hajatia mimba wala nini yupo tu anachangamsha baraza...
 
Kukimbia mimba naonaga ni dhambi sana. Ni afadhali tu kupambana aisee hata kama ni kwa kubeba zege. Ila labda yote ni Shigongo tu na hajatia mimba wala nini yupo tu anachangamsha baraza...
siwezi kukimbia kama niliwai kuleta uzi kipindi tumeanza mahusiano nkapata Suruhu skuweza kukimbia iweje leo
 
Kukimbia mimba naonaga ni dhambi sana. Ni afadhali tu kupambana aisee hata kama ni kwa kubeba zege. Ila labda yote ni Shigongo tu na hajatia mimba wala nini yupo tu anachangamsha baraza...
Wanaume hukimbia mimba Sana na huanza visababu akishajua una mimba, Yani sisi wanawake tukidaganya wanaume na mimba yako sura hubadilika kabisa na hukata mawasiliano.
So mleta mada hzo za kazini Ni shingongo tu anataka kukimbia mkojo wake huyo
 
Nilishawahi jiuliza hili pia, lakini pisi kali kitaa mbona ni chache tofauti na mapambio yaliyomo humu??
Ukali unatokana na muangaliaji na vigezo vyake mfano pisi miss Bantu mabonge wanapendwa sana na wanaume wa Africa wakati Ulaya hawana soko kule kipaumbele ni vimodo aka tako kama goti English figure
 
natafuta mechanism za kupata inner peace naimani ndo msingi wa kila kitu kwenda sawa ila peke angu nimeshindwa ndo maana nmeleta hapa kwenu ma menta mnaweza nipa abs's
Lea mimba usikimbie starehe yako hyo inner peace Ni sababu tu ka ulijua humukubali why ulienda pekupeku, baada ya mimba ndio anakuganda eeeh?
 
siwezi kukimbia kama niliwai kuleta uzi kipindi tumeanza mahusiano nkapata Suruhu skuweza kukimbia iweje leo
Tunaongea tu bro usichukulie siriazi kila kitu. Wajua tena ukileta jambo mbele ya wananzengo. Chukua ushauri unaouona wa maana na porojo zingine ziache tu. Natumaini utapata suluhu ya moyo wako ila kama nilivyosema hapo juu, una habati sana japo hujui tu....
 
Acha upuuzi, huyo atakupenda na kukuheshimu sana, kisasi ni ushamba, lea mimba, leeni mtoto
 
kuna watu wanatamani kuitwa baba bt fursa hiyo haijapata kutokea japo daily wanaipigania, wewe umepata fursa hiyo unataka ikimbia, sasa kama anauwezo wa kujikim hofu yako ni nini?
 
Back
Top Bottom