Ananiganda sana mpaka sina raha

Ananiganda sana mpaka sina raha

Lea mimba usikimbie starehe yako hyo inner peace Ni sababu tu ka ulijua humukubali why ulienda pekupeku, baada ya mimba ndio anakuganda eeeh?
nazani kuhusu kwenda peku nimeelezea hapo kuwa ilikuwa kwa ajiri ya ku revenge lakini matokeo yake yamekuja kuwa tofauti na matarajio
 
Sasa ka ulikuwa una revenge kubali tu ulee how can you revenge someone without using condoms, huoni unamtesa mtoto ambaye hakukutuma u revenge?
 
kuna watu wanatamani kuitwa baba bt fursa hiyo haijapata kutokea japo daily wanaipigania, wewe umepata fursa hiyo unataka ikimbia, sasa kama anauwezo wa kujikim hofu yako ni nini?
sio mimi mwenye uwezo wa kulea lakin mama mtarajiwa yuko vizuri 100× zaid yangu, ila tatizo hapo ni kuwa moyo wangu unaona kama nna hatia yaani nimekosea sana kimpa mimba mtu asiyestahili, hana sifa za kubeba kiumbe changu kutokana na mambo aliyokuwa anayafanya nyuma
 
Sijui kwanini nimeanza kusoma chini kwenda juu.
Enwei pole mwamba..akili kumkichwa.
 
Sasa ka ulikuwa una revenge kubali tu ulee how can you revenge someone without using condoms, huoni unamtesa mtoto ambaye hakukutuma u revenge?
hapo shida sio mtoto tena ntafurahi km atazaliwa wa jinsia ya kike, shida ni kutokuwa na amani na mama yake huyo mtoto
 
Kila Mtu uwa anatabia ya kusifia pisi yake,shida fika uione
Kwa Tabia ulizoeleza za hii pisi,ni wale madem wabovu sura mpaka Tabia hata umbo,uwa wanalingia vinafasi walivyonavyo,na wanajua sana kunata ni kupelembesha watu ili mradi uje uingie kingi,ukaimbishe,
Usikasifie Mkuu we kakimbie tu,temana nako iwe fundisho kwa wengine
 
sio mimi mwenye uwezo wa kulea lakin mama mtarajiwa yuko vizuri 100× zaid yangu, ila tatizo hapo ni kuwa moyo wangu unaona kama nna hatia yaani nimekosea sana kimpa mimba mtu asiyestahili, hana sifa za kubeba kiumbe changu kutokana na mambo aliyokuwa anayafanya nyuma
nakushauri uketi na huyo mwanamke hata kama alikukosea sana, kumbuka hakuna mkamilifu.
 
Wakuu mwanzoni kwa mwaka huu nilienda kutafuta kibarua cha kijishkiza ili siku ziende huku tukisubili kama t unaweza kubahatika kufanya shughuri tulizosomea
niilifika kwenye kampuni moja kubwa sana nkapata kibarua cha muda kweli mule ndani kulikuwa kuna pisi moja miyeyusho sana kwa vitendo vyake yaani ni mtu anaenata sana as if hafi ukizingatia na kitengo alichopo basi tabu tupu.
huyu bibie kunasiku alinikuta sijakamilika kikazi basi akanijia juu sana mpaka kufikia hatua ya kuniitia walinzi wanitoe nje ya geti kitu kilichopelekea kupoteza kibarua.
siku kadhaa mbele niliibuka kufatilia baadh ya malipo yangu nikakutana nae kwenye bajaji nilimsalimu alivoitikia nikajaribu kumkumbusha kama ananikumbuka akadai hanikumbuki nkaona sio kesi nka jaribu kumuweka sawa mpaka pale tulipobadilishana namba za simu kwa lengo la kushughurikia swala langu ili niludi kazini.
siku zkapita tukiwasiliana kwa salamu za hapa na pale story kidogo mwisho tukazoeana na kujikuta tunaanzisha mahusiano bila kutegemea kitu kilichonipelekea kuona kuwa ni fursa yangu ya kulipiza kisasi kwa kuwa sikuwa nampenda kiukweli licha ya watu kupagawa na jinsi alivyoumbika kuanzia sura mpaka umbo.
kwa Bahati mbaya nilimuonesha nnapoishi mapema sana na kula tunda mala kadhaa kitu kilichopelekea kupata ujauzito japokuwa nilikuwa natamani nimjaze kisha nihame kabisa mji lakini nilisitisha baada ya baadhi ya memba humu kunipa ushauri.
sasa huyu bidada anaujauzito wa miezi miwili kasoro, mwanaume sina jambo mfukoni, hapajui kwetu wala ndugu z angu hawamtambui, najulikana kwa mama ake na ndugu wachache kwa picha tu, sina malengo nae kwa sasa kwa kuwa sijajipanga japokuwa yeye anauwezo wa kumhudumia mtoto na kwao kiukweli sio wanyonge wanajiweza sana tu.
huyu mwanamke this time around anajikuta anajiweka Karibu sana na Mimi richa ya mimi kumuweka wazi baadhi ya mambo na kuonesha kuchukia waziwazi na kuraani kitendo alichonifanyia pamoja na hali yangu ya maisha kuwa ngumu.
wakuu kwa sasa sielewi nawezaje unakubaliana na hali na kuishi bila kinyongo na huyu mwanamke, Mda mwingine nawish hata nimkimbie tu yaani hichi kipindi bira jamii forums nahisi ningekuwa naokota makopo
kwa uandishi huu hii ni chai kbsa mkuu umejifunza wapi uandishi na matamshi yani kama standard one vile anaandika
 
Kila Mtu uwa anatabia ya kusifia pisi yake,shida fika uione
Kwa Tabia ulizoeleza za hii pisi,ni wale madem wabovu sura mpaka Tabia hata umbo,uwa wanalingia vinafasi walivyonavyo,na wanajua sana kunata ni kupelembesha watu ili mradi uje uingie kingi,ukaimbishe,
Usikasifie Mkuu we kakimbie tu,temana nako iwe fundisho kwa wengine
kuna pisi hapa duniani nzuri kwako kwangu ya kawaida, kuna nyingine za kawaida hizo uzuri wao tunasemaga upo ndani kwa ndani, kuna nyingine ndo zile u zuri wa mwanamke tabia, lakin nyingine hata malaika hawapingi kuwa wamebarikiwa kwa vile viungo vyao vilivyopangiliwa kwa vipimo thabiti vikapangika, pisi yangu haina sura ya kihaya wala umbo la kunyakyusa, hana miguu ya kirangi na nywere za waha huyu wangu ni aina ya pisi ambazo huishi kuziota yaani hata pisi zingine zinatamaniz ingekuwa kama yeye, hana umbo ka la sanchi au posh queen sura ya maua sama au kamanda jide.........naomba niishie apo
 
Wakuu mwanzoni kwa mwaka huu nilienda kutafuta kibarua cha kijishkiza ili siku ziende huku tukisubili kama t unaweza kubahatika kufanya shughuri tulizosomea niilifika kwenye kampuni moja kubwa sana nkapata kibarua cha muda kweli mule ndani kulikuwa kuna pisi moja miyeyusho sana kwa vitendo vyake yaani ni mtu anaenata sana as if hafi ukizingatia na kitengo alichopo basi tabu tupu.

Huyu bibie kunasiku alinikuta sijakamilika kikazi basi akanijia juu sana mpaka kufikia hatua ya kuniitia walinzi wanitoe nje ya geti kitu kilichopelekea kupoteza kibarua.

Siku kadhaa mbele niliibuka kufatilia baadh ya malipo yangu nikakutana nae kwenye bajaji nilimsalimu alivoitikia nikajaribu kumkumbusha kama ananikumbuka akadai hanikumbuki nkaona sio kesi nka jaribu kumuweka sawa mpaka pale tulipobadilishana namba za simu kwa lengo la kushughurikia swala langu ili niludi kazini.

Siku zkapita tukiwasiliana kwa salamu za hapa na pale story kidogo mwisho tukazoeana na kujikuta tunaanzisha mahusiano bila kutegemea kitu kilichonipelekea kuona kuwa ni fursa yangu ya kulipiza kisasi kwa kuwa sikuwa nampenda kiukweli licha ya watu kupagawa na jinsi alivyoumbika kuanzia sura mpaka umbo.

Kwa Bahati mbaya nilimuonesha nnapoishi mapema sana na kula tunda mala kadhaa kitu kilichopelekea kupata ujauzito japokuwa nilikuwa natamani nimjaze kisha nihame kabisa mji lakini nilisitisha baada ya baadhi ya memba humu kunipa ushauri.

Sasa huyu bidada anaujauzito wa miezi miwili kasoro, mwanaume sina jambo mfukoni, hapajui kwetu wala ndugu z angu hawamtambui, najulikana kwa mama ake na ndugu wachache kwa picha tu, sina malengo nae kwa sasa kwa kuwa sijajipanga japokuwa yeye anauwezo wa kumhudumia mtoto na kwao kiukweli sio wanyonge wanajiweza sana tu.

Huyu mwanamke this time around anajikuta anajiweka Karibu sana na Mimi richa ya mimi kumuweka wazi baadhi ya mambo na kuonesha kuchukia waziwazi na kuraani kitendo alichonifanyia pamoja na hali yangu ya maisha kuwa ngumu.

Wakuu kwa sasa sielewi nawezaje unakubaliana na hali na kuishi bila kinyongo na huyu mwanamke, Mda mwingine nawish hata nimkimbie tu yaani hichi kipindi bira jamii forums nahisi ningekuwa naokota makopo
sisi wazazi tunakosea wapi kuzaa watu wa hivi
 
Mwambie akufanyie maconnection pale ofisini kwao acha kukaa kizembe.

Kwanza 'mtoto wa kiume' unaanzaje kuweka kinyongo kisichokuwa na maana kwa hiyo 'pisi' yako?
 
Back
Top Bottom