martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,560
Wakuu mwanzoni kwa mwaka huu nilienda kutafuta kibarua cha kijishkiza ili siku ziende huku tukisubili kama t unaweza kubahatika kufanya shughuri tulizosomea niilifika kwenye kampuni moja kubwa sana nkapata kibarua cha muda kweli mule ndani kulikuwa kuna pisi moja miyeyusho sana kwa vitendo vyake yaani ni mtu anaenata sana as if hafi ukizingatia na kitengo alichopo basi tabu tupu.
Huyu bibie kunasiku alinikuta sijakamilika kikazi basi akanijia juu sana mpaka kufikia hatua ya kuniitia walinzi wanitoe nje ya geti kitu kilichopelekea kupoteza kibarua.
Siku kadhaa mbele niliibuka kufatilia baadh ya malipo yangu nikakutana nae kwenye bajaji nilimsalimu alivoitikia nikajaribu kumkumbusha kama ananikumbuka akadai hanikumbuki nkaona sio kesi nka jaribu kumuweka sawa mpaka pale tulipobadilishana namba za simu kwa lengo la kushughurikia swala langu ili niludi kazini.
Siku zkapita tukiwasiliana kwa salamu za hapa na pale story kidogo mwisho tukazoeana na kujikuta tunaanzisha mahusiano bila kutegemea kitu kilichonipelekea kuona kuwa ni fursa yangu ya kulipiza kisasi kwa kuwa sikuwa nampenda kiukweli licha ya watu kupagawa na jinsi alivyoumbika kuanzia sura mpaka umbo.
Kwa Bahati mbaya nilimuonesha nnapoishi mapema sana na kula tunda mala kadhaa kitu kilichopelekea kupata ujauzito japokuwa nilikuwa natamani nimjaze kisha nihame kabisa mji lakini nilisitisha baada ya baadhi ya memba humu kunipa ushauri.
Sasa huyu bidada anaujauzito wa miezi miwili kasoro, mwanaume sina jambo mfukoni, hapajui kwetu wala ndugu z angu hawamtambui, najulikana kwa mama ake na ndugu wachache kwa picha tu, sina malengo nae kwa sasa kwa kuwa sijajipanga japokuwa yeye anauwezo wa kumhudumia mtoto na kwao kiukweli sio wanyonge wanajiweza sana tu.
Huyu mwanamke this time around anajikuta anajiweka Karibu sana na Mimi richa ya mimi kumuweka wazi baadhi ya mambo na kuonesha kuchukia waziwazi na kuraani kitendo alichonifanyia pamoja na hali yangu ya maisha kuwa ngumu.
Wakuu kwa sasa sielewi nawezaje unakubaliana na hali na kuishi bila kinyongo na huyu mwanamke, Mda mwingine nawish hata nimkimbie tu yaani hichi kipindi bira jamii forums nahisi ningekuwa naokota makopo
========
Mwendelezo: Anzeni vikao vya Send-off wanajamvi