Ananifaa kweli ama kimeo?

Ananifaa kweli ama kimeo?

Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana!
Rudi ukweni waambie ulikosea mkuu....!!KAA MBALI HUYO NI KIMEO..
 
Back
Top Bottom