Ananiambia naniliu yangu ni ndogo kama kijiti

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,754
2,000
Eid mubarak

Siku moja natoka zangu kazini narudi ghetto kwangu njiani nikakutana na mtoto kwenye zigo la kichokozi. Baada ya kumuimbisha sana anipe namba mwishowe akatoa kishingo upande.

Siku si siku yule mtoto nilimwalika aje kwangu. Kweli mtoto alikuja, na siku hiyo ghetto langu lilinukia unyunyu wa chibu. Baada ya kupata kick mbili tatu tuliamua tumalizie kitandani.

Tunafika kwenye mchezo wenyewe, mimi nikavaa ndomu. Kitu cha ajabu kilichotokea naniliu ilisinyaa kabisa ikawa kama kidonge. Yule bi dada akaniambia mbona naniliu ndogo kama kidole gumba. Mimi hapo niliishiwa pozi.

Sasa baadaye mada iligeukiwa kwangu kwa nini nina naniliu kama ya mtoto. Nilijitetea na baba, mjomba na kila ndugu zangu tupo ivyo. Mwisho wa siku nikaambiwa siwezi kazi na matusi juu.

Sasa jana nimempigia nimsalimie akanikumbusha naniliu ndogo kama kijiti. Sasa ilibidi nimblock tuu. Hapa nina mawazo kwa nini mimi lakini?

vibamia wenzangu karibuni tujiliwaze
 

FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
6,006
2,000
img-20170603-wa0000-jpg.518477
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
36,231
2,000
Bado sijachelewa, nipo hapa siti ya font ferd( in mkulu's voice)
 

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,754
2,000
hahahaha thread hii inaweza kukosa wachangiaji kabisa... tutajitokeza wachache sana... hahahah jf raha tupu sijui mkuu umewaza nini?

Hahaha mkuu leo nimekamatika yaani sijielewi hapa akilini mwangu nina mawazo yanarudia rudia kwamba naniliu ndogo

Naona aibu mie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom