Ananiambia atakuwa na training Arusha tarehe 13-14 Feb (Valentine Day).

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
WanaJF leo nimeambiwa na Mpenzi wangu kuwa tarhe 13&14 atakuwa na training Arusha,hivyo atalazimika kuondoka tarehe 12 na kurudi 15,sielewi hebu na nyie semeni ndugu zangu!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wasiwasi wako ni nini kwani we mwachie atarudi nayo tu hata wewe ukimzuia hiyo tarehe 14 hautaweza kuondoka nayo.
 
NJIA ZA KUJIPANGA WANAUME
MAANA VALENTINE IPO KARIBU

Kutokana na matatizo makubwa
wanayopata wapenzi haswa
wanaume wakati wa Valentine ni
vizuri kuanza kujipanga mapema.
Baadhi ya mambo ambayo yanaweza
kufanyika :-

1. Panga kupata malaria kali kati ya
tarehe 12 mpaka 15 February. Kama
utaweza kuugua mpaka ukalazwa
itakuwa bora zaidi

2. Tarehe 10 February anzisha zogo,
mtiti, vurugu, ili mapenzi yasitishwe,
tarehe 15 rudi na kupiga magoti
kuomba msamaha

3. Tafuta safari ya kikazi kwenda
kutembelea miradi ya vijiji vilivyo
pembezoni safari ianze tarehe 10 na
kumalizika 15 Februari

4. Ugua kikohozi kikali ambacho
kitasababisha upoteze sauti. Fanya
haya kati ya tarehe 13 na 15
February

5. Tarehe 12 February mshirikishe
mwenzio katika uzinduzi wa mradi
wako wa ujenzi. Hivyo kuanza
kununua vifaa siku hiyo

6. Ugua depresion na daktari atoe
amri usimwone mtu anayeweza
kukuletea msongo wa mawazo
kuanzia tarehe 12 hadi 15 February.
Sijui wadau mmejiapangaje kwa hili
janga linalokuja.
 
Binafsi kwangu kila siku ni valentine day na majukumu yanasonga. Usiwe na wasiwasi na mpenzi wako utajipa presha bure ifanye kila siku valentine day utaishi kwa amani sana. Siku moja isikukondeshe.
 
NJIA ZA KUJIPANGA WANAUME
MAANA VALENTINE IPO KARIBU

Kutokana na matatizo makubwa
wanayopata wapenzi haswa
wanaume wakati wa Valentine ni
vizuri kuanza kujipanga mapema.
Baadhi ya mambo ambayo yanaweza
kufanyika :-

1. Panga kupata malaria kali kati ya
tarehe 12 mpaka 15 February. Kama
utaweza kuugua mpaka ukalazwa
itakuwa bora zaidi

2. Tarehe 10 February anzisha zogo,
mtiti, vurugu, ili mapenzi yasitishwe,
tarehe 15 rudi na kupiga magoti
kuomba msamaha

3. Tafuta safari ya kikazi kwenda
kutembelea miradi ya vijiji vilivyo
pembezoni safari ianze tarehe 10 na
kumalizika 15 Februari

4. Ugua kikohozi kikali ambacho
kitasababisha upoteze sauti. Fanya
haya kati ya tarehe 13 na 15
February

5. Tarehe 12 February mshirikishe
mwenzio katika uzinduzi wa mradi
wako wa ujenzi. Hivyo kuanza
kununua vifaa siku hiyo

6. Ugua depresion na daktari atoe
amri usimwone mtu anayeweza
kukuletea msongo wa mawazo
kuanzia tarehe 12 hadi 15 February.
Sijui wadau mmejiapangaje kwa hili
janga linalokuja.

Mkuu I salute u huku nikicheka mpaka mbavu zinauma. Kwa nini ujihangaishe kiasi hiki? any way hii siku hata huwa siielewe imekaa kistudent sana. Lakini kwa mhangaikaji kama mimi naiona kawaida sana.
 
Binafsi kwangu kila siku ni valentine day na majukumu yanasonga. Usiwe na wasiwasi na mpenzi wako utajipa presha bure ifanye kila siku valentine day utaishi kwa amani sana. Siku moja isikukondeshe.

Umesema vema sana mdida...
presha za nini, wasiwasi wa nini, kwani si mpenzi wako huyo, sasa unapanic nini, mwache aende training, possibly atarudi na uzoefu wa kazi....
 
Last edited by a moderator:
Kwan siku ya valentine.watu wanakuw off...may be.kuna kitu.kimetokea.btn u guys dats why unahofu...kama uliwahi kuhisi unaibiwa siku chach zilizopita. Jipange
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom