Ananiambia anataka

Ndugu upo vizuri kwenye lugha eeeh

Vibaya sana we ulizia Kijerumani,kifaransa,kichina (najua kidogo),Kiswahili fasaha,kiniger,kisukuma,kingoni,kichaga,kimakonde,kiluganda (from Uganda),kispanish,kiswerdish,Mpaka lugha za mabubu mimi niko vyema!
 
mkuu uko nondo unaongea lugha nyingi mpaka kiswerdish hii itakuwa lugha ya mabubu!
 
Umekubali mimba unapaswa kuendelea kuilea jamani, ungependa afanye na asiye baba wa mtoto wako?
 
Sijui sijakufahamu vizuri unavyolalamika, yakusema anakusingizia Je uli tumia kinga? Anakusingizia hamjui? Wacha kukimbia majukumu, hiyo ya pili unayo itwa imeshakutumbukia nyongo eeh?...
 
mkuu uko nondo unaongea lugha nyingi mpaka kiswerdish hii itakuwa lugha ya mabubu!

mi naongea mpaka kiHadzabe cha kijijini kwenu wewe si unapakana mi napiga vyote.
 
Amekusingizia, sababu huzai mbegu zako zakiume zina matatizo au hujiamini?
 
Basi kapige nyeto au nilete huyo demu wako kama hautaki kumpa dudu yangu ni free
 
We zinc nae unamatatizo
 
Last edited by a moderator:
yani tatizo kama hili mpaka uje kumfungulia mwenzako uzi jf.......kwanini usiyamalize uko uko......hivi siku hizi watu wanatumia ubongo kufanyaje.......
 
Kugonga ugonge wewe, utam uusikie vile vile!

Mimba apewe mwingine!

Calamities!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…