Anamwambia Nini?

Michezo ya siasa ni migumu, hapo alikuwa anamlainisha kiranja mkuu ili afanikishe miradi yake, ulitaka amponde live? Mara nyingine unatakiwa kuwa mjanja mambo yaende
mkuu,kiongozi wa kweli unapaswa kusimama kwenye ukweli badala ya kuwa mnafiki..trust me hilo limemshushia CV na watalitumia wapinzani wao hapo baade.Infact ni kinyume na kile wenzake wanachoamini na kupelekwa mahakamani.Amewavua nguo kina Lisu,Mbowe, Lema na wengine ambao wana kesi au migogoro na serikali kwa. Angalia jinsi magazeti yalivyooandika hasa gazeti la chama.
 
Nalielewa hilo,pointyangu nikuwa wanasiasa wanapenda kuangalia maslahi yao pekee
 
Kwahyo jamaa hajagusa papuchi toka apelekwe ndani, daah..!!! Noma sn
Hapo ndipo akili yako inapoishia.
images-396.jpeg
 
Back
Top Bottom