Mama Nim
Senior Member
- Oct 15, 2009
- 123
- 3
Hivi sisi baadhi ya kina dada wanamatatizo gani? Wewe unafahamu vizuri kuwa jamaa ni mume wa mtu na bado unawatangazia watu kwamba atamuacha akuowe wewe. Unauhakika gani kwamba atamuacha mke wake wa zaidi ya miaka 15 na watoto 3 akuowe wewe?
Kuna dada kanikuna kweli aliponiletea kadi ya mchango eti anaolewa wakati jamaa bado anaishi na mkewe. Tatizo dem hajui wife ndiye mwenye mali, there is no way that guy is going to divorce his wife.
Naomba ushauri wa jinsi ya kumshawishi aachane na huyu jamaa kwani he's making her a laughing stock na watu wanamsema lakini hakuna anayetaka kumwambia ukweli.