Anampenda Mume wa Mtu

Twin sister mm sijui huyu shemeji yako anatalent ngapi?kila cku ananishangaza tu!nadhani soon ataniambia niite mashosti zangu na nyie ndugu zangu anaanzisha kanisa,jamani andaeni sadaka
mmmh upako umetoa wapi na lini ,, pacha wangu hajaniambia hilo
 
Twin sister mm sijui huyu shemeji yako anatalent ngapi?kila cku ananishangaza tu!nadhani soon ataniambia niite mashosti zangu na nyie ndugu zangu anaanzisha kanisa,jamani andaeni sadaka

hahaaaa huko shem atanikosa....mambo ya kununa fomu ili uombewe sitaki
 
umesahau fungu la kumi
 
twin,fom unalipia,kumwona unalipia,zen bado mazagazaga kibao!!!!!!!mm mwenyewe naona ntamshindwa kwa mambo hayo
hahaaaa huko shem atanikosa....mambo ya kununa fomu ili uombewe sitaki
 
Kwani huyo jamaa amefunga ndoa ya kikabila/kimila, kiserikali au kidini?
Na ni dini gani? maana dini nyingine huwezi kuoa mara mbili unless mkeo amekufa.

Huyo mke mwenye watoto watatu ana ndoa na jamaaau wameishitu?
Amini kama wameishi tu, kuna uwezekano wa kumuoa huyo dada.
 
Wamefunga ndoa kanisani na cheti wanacho
 
Nawaogopa married men the same way naogopoa nyoka

weeeeeeeeeeeeeeeeee...................... eti nini??????????????????

sema tu hjamfuma mwenye njuluku za kutosha.!!!!!!! unakutanaga tu na wachovu. kuna mwanamke anajali whether a man is married or not???????????? sie watu wazima bwana usitu...........
 
Back
Top Bottom