Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Hahaha Mwita bwana, vyakula vingine noumer, khaa basi mie hapo ningekula mboga tu then hicho chekundu mtajua wenyewe
msosi huu nomahahaha mwita bwana, vyakula vingine noumer, khaa basi mie hapo ningekula mboga tu then hicho chekundu mtajua wenyewe
mbona kama kinyesi jamani?
mbona kama kinyesi jamani?
sikuwezi mkuu !siku![]()
Kwetu harusi bila huu msosi unaturudishia mchango wetu, karibuni ngoreme musoma mara tanzania
huo mchanganyiko mhogo na mtama, ila mtama umezidi mhogoHili nguna la hogo au mtama?
huo mchanganyiko mhogo na mtama, ila mtama umezidi mhogo