Kwenye black market East Africa inaingia nchi ya maziwa na asaliHalafu kuna kitu cha muhimu sikukiweka hapa. Nchi kama Pakistan, Uchina na Saudi Arabia zinaongoza kununua silaha kwenye soko haramu (Black Market). Serikali ya Pakistan ilitengeneza silaha zake za nyuklia kimya kimya bila dunia kujua kwasababu vifaa vyote ilivinunua kwenye soko haramu. Serikali ya India nayo ikafanya hivyo hivyo kutengeneza silaha zake za kinyuklia.
Sasa tukiweka na bajeti inayotumika kununua silaha kwenye soko haramu, basi tunaweza kukuta bajeti ni kubwa zaidi ya hiyo hapo juu...
Ni dhahiri kumekuwa na utofauti mkubwa tu katika hizi taarifa hasa ukifuatilia kuhusu East Africa maana hawa SIPRI kuna kipimo chao huwa wanakitumia katika taarifa zao.
Mfano kuna hizi takwimu hapa za SIPRI zinaonesha kuwa, Kwa mwaka 2017, Tanzania haikufanya manunuzi yeyote yale ya silaha yanayotambulika, huku Kenya na Uganda wakiwa vinara kwa mwaka huo wa 2017 kwa manunuzi ya takriban $13 milioni ambayo ni ya Kenya na $18 milioni kwa Uganda ambaye ndiye aliongoza kwa mwaka huo.
View attachment 1132969
Hakuna data zinazoonesha Tz aliwai kununua silaha IsraelBunduki zilizitoka Israel [emoji4][emoji4][emoji4] ile mizinga imetengenezwa pale kiwanda cha silaha
Cha muhimu ni uzima tu mkuu....Kwenye black market East Africa inaingia nchi ya maziwa na asali
Hakika data hakunaHakuna data zinazoonesha Tz aliwai kununua silaha Israel
Cha kushangaza zaidi siku hizi wana kitengo cha drone ambazo pia hakuna data
Kuwa hizo drone zilitoka wap
Halafu kuna kitu cha muhimu sikukiweka hapa. Nchi kama Pakistan, Uchina na Saudi Arabia zinaongoza kununua silaha kwenye soko haramu (Black Market). Serikali ya Pakistan ilitengeneza silaha zake za nyuklia kimya kimya bila dunia kujua kwasababu vifaa vyote ilivinunua kwenye soko haramu. Serikali ya India nayo ikafanya hivyo hivyo kutengeneza silaha zake za kinyuklia.
Sasa tukiweka na bajeti inayotumika kununua silaha kwenye soko haramu, basi tunaweza kukuta bajeti ni kubwa zaidi ya hiyo hapo juu...
Wakijaribu kutengeneza silaha zao makampuni kama Raytheon, Kalashnikov Concern, Boeing etc yatakula wapi ? Technological Colonialism is very real, if any of these growing countries try to walk away from Washington's/Russia's/ Orbits of influence by building or diversifying technological dependence then assuredly i tell you, Corporatists in Washington will be lobbying for a regime change whilst spooks in Moscow will be formenting instability and chaos: Turkey's F-35 deal is a good example for the former and Ukraine's bid to join the EU and NATO for the latter.....
Hakuna data zinazoonesha Tz aliwai kununua silaha Israel
Cha kushangaza zaidi siku hizi wana kitengo cha drone ambazo pia hakuna data
Kuwa hizo drone zilitoka wap
Hivi hizi silaha kubwa kubwa (excluding small arms zinazoweza kutengenezwa hata na watunduwatundu wa mtaani) zinazouzwa kinyemela kwa waasi in which way they've got in the hands of rebels?
Maana kweli hao Defence contractors wanaweza uza Silaha zao Black market bila Washington kujua?
Mkuu ununuaji wa Silaha lazima uwe katika mfumo wa Siri ili kuzuia mivutano na mashindano ya Silaha na majirani
Kama hizo data zingekuwa kama magazeti ni tatizo, na nature ya Jeshi ni kama vyombo vya ujasusi kunatakiwa usiri katika uendeshaji wa mambo yake
Uko sahihi. Jukwaa linaandaliwa kwa jili ya vita ya tatu na ya mwisho, mbaya kuliko zilizotangulia. Kuna mambo hayana jinsi ila kutukia. Alliance ya Russia, Turkey, Iran na Afrika ya Kaskazini itazidi kuwa na nguvu. Asia lazima itazidi kuongezeka kijeshi kwa sababu kuna assignment ya wao kufanya.Wanahistoria husema hivi "it was rapid militarization of the European continent, which built aggrandized overconfidence on the part of Imperial Powers and eventually created an awful spectre for world war one and world war two"
Kuna msemo unasema;Mwadamu mwanadamu. Sijapata majibu ya haya yote. For what? Why not investing in peace than war?