Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Mkuu kaptula la Marx, umetoa maelezo mengi sana lakini umeacha kitu kimoja cha msingi sana, je kwa mawazo yako, huko Ukawa, ni Nani anaeweza kupigiwa kura na wananchi badala ya Magufuli?
Kwa maelezo yako, ni dhahiri kuwa wewe ni mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa na kwa vyovyote mpaka kuifikia hiyo conclusion, itakuwa unayajua maswala ya upande wa Ukawa pia, sasa hebu taja jina la huyo mgombea bora ambae ataweza kumwangusha Magufuli.