Sasa TL aliwakumbusha kuhusu acacia tu hivi unajua wangapi wamekosa ajira kwa sakata la acacia, wa Buli na Buzwagi ni zaidi ya 5000 hizi ni direct Sasa multiplier effects yake ni ajira zaidi ya 50,000.
Kikokotoo kilikuwa kinazalisha wajasiriamali wangapi na hao wote wanasotea pension nssf zaidi ya mwaka hizo ni 50,000.
Uvuvi mmeutia doa na kuweka bench zaidi ya ajira 1millioni mpaka mnapopata akili leo tayari watu wameshachochola.
Kilimo chenye 70% ebu mtuache kwanza, mmalizieni wale mliowaumiza na kuwatia kwenye viroba kumfurahisha jiwe