Pamekuwa na pm nyingi watu wakiomba link ya simulizi ambazo nimeshawahi kuziweka majukwaani. Mara nyingi nimekuwa najitahidi kuwapatia hizo link, ila muda mwingine nashindwa.
Nimeamua kuzikusanya zote na kuziweka kwenye Uzi mmoja ili iwe rahisi kwa mtu kuzipata.
Hapa nimeweka zile ambazo zilikuwa ni ndefu, zile ambazo zilikuwa post moja au mbili sijazijumuisha.
ModeratorYinYang kama itawapendeza, basi naomba huu Uzi muupin (sticky), ili usiweze kuhama. Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmenisaidia kufanikisha dhumuni la kuziweka hizi zote sehemu moja. Tofauti na hapo, haitakuwa rahisi kuaccess.