analojia vs digitali

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
eti wanasema bantu figa ni analojia na wale dada zetu wasiojaaliwa nyuma ni dijitali,je wewe mwenzangu umehamia dijitali au bado upo analojia????
 
mambo yako analojia bwana fuk utamu!
 
eti wanasema bantu figa ni analojia na wale dada zetu wasiojaaliwa nyuma ni dijitali,je wewe mwenzangu umehamia dijitali au bado upo analojia????

kama ni hivyo basi mimi bora nibaki analojia.
 
Bado nipo kotekote si mpaka kumoja kuzimwe yaan anolojia
 
eti wanasema bantu figa ni analojia na wale dada zetu wasiojaaliwa nyuma ni dijitali,je wewe mwenzangu umehamia dijitali au bado upo analojia????

Bora analojia.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Na wanawake ambao hawajatahiriwa, hiku kwetu wanaitwa analojia na waliotahiriwa ndo digitali.
 
Bora analojia ya kale dhahabu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…